Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Tupo busy
1673347333756.jpg
 
Huu uzi unaendana na upepo, hauna misingi ya kusimamia.
 
Ukweli unabaki kuwa Arteta hana uwezo
Mchukue martinel na nketiah wapeleke man city halafu haaland na de bruyne wapeleke arsenal Kisha mechi ipigwe Tena tuone nani Hana uwezo,maana kwa wachezaji hao na kamzid guardiola possession..wakambi wamewahi izidi man city possession?
 
Posession ya kupigwa 3 !
 
Ukweli unabaki kuwa Arteta hana uwezo
Brother mimi sio shabiki wa arsenal ila tangu wenger atoke aseno ni kocha gani mwingine unadhani angeliiweka aseno nafasi ya pili mpaka sasa hukubakiwa bado na mchezo mmoja mkononi dhidi ya aliye mtangulia?
 
Swali lako ni rahisi sana
 
Mchukue martinel na nketiah wapeleke man city halafu haaland na de bruyne wapeleke arsenal Kisha mechi ipigwe Tena tuone nani Hana uwezo,maana kwa wachezaji hao na kamzid guardiola possession..wakambi wamewahi izidi man city possession?
Achana na mambo ya possessiom wewe inamankusweke , mpira wa kizamani...Kabla ya mechi Halaand aliwaambia sina haja ya kugusa mpira mara nyingi lakini nikigusa ni goli, na ndicho kilichotokea.
sokaonline__1676474893230530.jpg
 
Back
Top Bottom