Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Acha utani kina Foden wachezaji wa kawaida!?
Kina Mac Allister wachezaji wa kawaida!?
Kwa anayoyafanya Arteta na kwa experience ndogo alokua nayo ni kocha mzuri aisee.
Kama kweli mshabiki wa mpira utaliona hilo.
Who is foden by the way ? ondoa mashaka kuhusu uzoefu wangu kwenye soka , hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingereza .
 
Guardiola hata ukimpa Brentford kama ilivyo anabeba ndoo
Aisee Guardiola ana uzoefu na ameshapitia timu nyingi sijui kama umelitizama hili.
Unachofanya wewe ni kumfananisha Clement mzize na Fiston Mayele.
 
Aisee Guardiola ana uzoefu na ameshapitia timu nyingi sijui kama umelitizama hili.
Unachofanya wewe ni kumfananisha Clement mzize na Fiston Mayele.
Ifuatilie Arsenal ilikotoka halafu angalia kama inaweza kuwa na kocha wa mafunzo
 
Kwani Xavi Alonso ana uzoefu gani kwenye kazi ya ukocha?
Steve Gerald alipewa Rangers ya Scotland na akatwaa ubingwa na kuzima ufalme wa Celtic , akaletwa England na kupewa Aston Villa , kilichotokea bila shaka unakijua , ligi ya Uingereza ni tofauti mno , ndio maana haiuzwi kwa bei rahisi
 
ukitoa kipind cha Wenger ni kipindi gan kingine mliwai kuwa na matokeo mazur hv ?
 
Haya sasa

Shabiki maandazi

In voyeur you trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…