Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Arteta ana vitoto cheichei vilivyofeli city, Madrid, na vitita vya academy pamoja na a few kid level stars

Wenger had a team to be feared, invisible, a team of captains etc

Mpeni muda arteta

Hata fergie alikua na delayed milestones

Mwakani mnabeba carabao
 
Hahahaha kwamba mwakani gunnerz anabeba carabao... mkuu kumbuka kuna watu kama rice na havert wamenunuliwa kwa bei mbaya
 
carabao tena! ndo kikombe ambacho akibeba eti ndo tuamini ni bonge la kocha
ila mwamba amejitahidi sana ase
 
Who is foden by the way ? ondoa mashaka kuhusu uzoefu wangu kwenye soka , hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingereza .
hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingereza
hapa ndo nimekuelewa zaidi
 
Who is foden by the way ? ondoa mashaka kuhusu uzoefu wangu kwenye soka , hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingereza .
Kuna jamaa anaitwa alan shearer ni vile tu alikua loyal na newcastle yake ila kwa wakati ule angeamua kwenda real madrid au ac milan kusaka mataji angeandikwa kwenye vitabu vya historia kama mmoja wa wachezaji wakubwa hata kane yupo vzr tatizo alichelewa kuondoka totenham
 
Huo muda ni miaka mingapi ?
 
Alifanya uzembe sana. Kane ana chance ya UCL trophy.
 
Haya hapa ni maelezo ya Shabiki wa Arsenal ambaye ameunga mkono maoni yangu juu ya uwezo wa Arteta

 
Livelong mdau
 
Wenger kaipatia makombe mangapi Arsenal!?
Pia ukumbuke Arsenal inapambana na rivals ambao ni elite kama Mancity na Liverpool.
Yeye kuwa top 4 na kushiriki Uefa ni hatua na matumaini makubwa.
Wenga miaka yote ile kaipa aseno ubingwa mara mbili tu

Yeye na ateta hawana tofauti 😁😁😁😁
 
Mwaka upi wanabeba carabao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…