Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #381
Kivipi ?Kamwe huwezi kuwa
ILA kwa kikosi cha Mikel, ni over achievements
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi ?Kamwe huwezi kuwa
ILA kwa kikosi cha Mikel, ni over achievements
Arteta ana vitoto cheichei vilivyofeli city, Madrid, na vitita vya academy pamoja na a few kid level starsKivipi ?
Hahahaha kwamba mwakani gunnerz anabeba carabao... mkuu kumbuka kuna watu kama rice na havert wamenunuliwa kwa bei mbayaArteta ana vitoto cheichei vilivyofeli city, Madrid, na vitita vya academy pamoja na a few kid level stars
Wenger had a team to be feared, invisible, a team of captains etc
Mpeni muda arteta
Hata fergie alikua na delayed milestones
Mwakani mnabeba carabao
Hata Nunez kanunuliwa kwa bei mbaya, wako wengi tuHahahaha kwamba mwakani gunnerz anabeba carabao... mkuu kumbuka kuna watu kama rice na havert wamenunuliwa kwa bei mbaya
carabao tena! ndo kikombe ambacho akibeba eti ndo tuamini ni bonge la kochaArteta ana vitoto cheichei vilivyofeli city, Madrid, na vitita vya academy pamoja na a few kid level stars
Wenger had a team to be feared, invisible, a team of captains etc
Mpeni muda arteta
Hata fergie alikua na delayed milestones
Mwakani mnabeba carabao
hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingerezaWho is foden by the way ? ondoa mashaka kuhusu uzoefu wangu kwenye soka , hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingereza .
Kuna jamaa anaitwa alan shearer ni vile tu alikua loyal na newcastle yake ila kwa wakati ule angeamua kwenda real madrid au ac milan kusaka mataji angeandikwa kwenye vitabu vya historia kama mmoja wa wachezaji wakubwa hata kane yupo vzr tatizo alichelewa kuondoka totenhamWho is foden by the way ? ondoa mashaka kuhusu uzoefu wangu kwenye soka , hakuna mchezaji wa kutisha ambaye ni mwingereza .
Vipi MkuuKupewa timu Arteta ni sawa na kucheza biko
Huo muda ni miaka mingapi ?Arteta ana vitoto cheichei vilivyofeli city, Madrid, na vitita vya academy pamoja na a few kid level stars
Wenger had a team to be feared, invisible, a team of captains etc
Mpeni muda arteta
Hata fergie alikua na delayed milestones
Mwakani mnabeba carabao
Alifanya uzembe sana. Kane ana chance ya UCL trophy.Kuna jamaa anaitwa alan shearer ni vile tu alikua loyal na newcastle yake ila kwa wakati ule angeamua kwenda real madrid au ac milan kusaka mataji angeandikwa kwenye vitabu vya historia kama mmoja wa wachezaji wakubwa hata kane yupo vzr tatizo alichelewa kuondoka totenham
Livelong mdauKumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal
Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka, Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji, wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika, lakini si Arteta.
Nakala imfikie Arsene Wenger.
Wenga miaka yote ile kaipa aseno ubingwa mara mbili tuWenger kaipatia makombe mangapi Arsenal!?
Pia ukumbuke Arsenal inapambana na rivals ambao ni elite kama Mancity na Liverpool.
Yeye kuwa top 4 na kushiriki Uefa ni hatua na matumaini makubwa.
Mungu ibariki JFNimetukanwa matusi karibu yote unayoyajua kwenye uzi huu , na kwa hakika hata Kwenye Champions league hawatoboi .
Kuna nini hukoKumekucha
😆😆😆😆Kuna nini huko
Mwaka upi wanabeba carabaoArteta ana vitoto cheichei vilivyofeli city, Madrid, na vitita vya academy pamoja na a few kid level stars
Wenger had a team to be feared, invisible, a team of captains etc
Mpeni muda arteta
Hata fergie alikua na delayed milestones
Mwakani mnabeba carabao