Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Dah! huku Arsenal anaongoza tatu mojaHuku bila bila sijui kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! huku Arsenal anaongoza tatu mojaHuku bila bila sijui kwako.
Sawa tuulize na kule kwingineDah! huku Arsenal anaongoza tatu moja
✊Sawa tuulize na kule kwingine
Kwi Kwi KwiDah! huku Arsenal anaongoza tatu moja
Kwani ilikuaje tena mkuu?Kwi Kwi Kwi
SijuiKwani ilikuaje tena mkuu?
😢😢😢😢😢 Mashabiki wa Arsenal hatuna amani muda wote preshaSijui
Na bado !😢😢😢😢😢 Mashabiki wa Arsenal hatuna amani muda wote presha
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipati picha.... ivi watashangilia kweli kunyenyua makwapa ya championshipArsenal msimu huu watabeba ndoo.
Ndio ndio ya championship
😭 😭 😭Na bado !
Mungu ibariki JFKumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala ujasiri wowote wa kuipa Arsenal mataji , katika kipindi alichoitumikia Arsenal pamoja na kupewa Arm band hakuwahi kutoa mchango wowote wa kusaidia timu yake , hata kwa kuhamasisha kwa maneno tu kama wafanyavyo Ma Captain wa vilabu vingine , aliitwa Man City kuwa kocha msaidizi July 3 2016 , mpaka sasa ni chini ya miaka miwili , huyu si wa kupewa timu tajiri kama Arsenal
Arsenal inahitaji kocha mzoefu mwenye mafanikio yasiyotiliwa mashaka , Au la kama viongozi wanapenda kumpa kazi hiyo yule aliyechezea klabu yao basi nafasi hiyo wapewe wachezaji wenye uchungu mkubwa waliotoa jasho na damu kuipa timu mataji , wachezaji hao wapo na majina yao yanafahamika , lakini si Arteta .
Nakala imfikie Arsene Wenger .
Watavuna walichopandaMkuu hawakukusikia awa makabimbi
Kuna mwenye swali ?
hakuna boss
Tutaelewana tu😭 😭 😭
[emoji3][emoji16][emoji23]Muda utaongea, wao wameona anafaa..
Au ulitaka wakupe wewe ukocha!?