Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Stemdi ya mabasi, magufuli,.madaraja magufuli eeehh,.too much.

Hakuna wasomi mahiri, wanamuziki mahiri,
Stendi ya mabasi N daraja ndio unasema too much 😂 bado hujasema
 
Mpaka uombe maji na hatukupi 😂
 

Mbona simple tu nawewe ita jina unalotaka wewe ujalazimishwa
 
Mpumbavu pekee ndie ambaye atapingana na ww
 
Ni ujinga kuleta maendeleo Kwa nguvu,na iyo familia yako itakua ya wajinga watupu.kwaani Sasa hivi haya maendeleo tunatumia nguvu wapi??acha akili za KIJIMA
 
Mtoa mada ipo siku utashindwa kushika mimba ya mumeo na utamsingizia JPM
 
Ulitaka iitwe Mbowe?

Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.

Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.

Nadhani hizi ni chuki
Tena chuki binafsi😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…