Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Tutajie na waliotekwa awamu hiiHuna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajie na waliotekwa awamu hiiHuna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
Stendi ya mabasi N daraja ndio unasema too much 😂 bado hujasemaStemdi ya mabasi, magufuli,.madaraja magufuli eeehh,.too much.
Hakuna wasomi mahiri, wanamuziki mahiri,
Mpaka uombe maji na hatukupi 😂Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Matusi na Uchawi hayajawahi kuondoa umasikini wa mtuWewe na mumeo Mbowe
Kwi Kwi KwiPinga pinga Fc lopolopo Fc mwambie Mbowe ajenge Choo machame tuite choo cha Mbowe la sivyo jinyonge imeitwa na huna la kufanya kwa mlimpinga Magufuli kuhusu ujenzi wa SGR ya Majina hayawahusu
Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Mbona simple tu nawewe ita jina unalotaka wewe ujalazimishwaHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Innocent? A murderer can never be innocentMagufuli,The innocent hero and beloved son of Africa! May the Almighty God Rest Him in Eternal peace
Mkuu wewe ni Binadamu?Magufuli,The innocent hero and beloved son of Africa! May the Almighty God Rest Him in Eternal peace
Mkuu wewe ni Binadamu?
Mpumbavu pekee ndie ambaye atapingana na wwSiku watu wakijua kua tulipata hasara kubwa sana kumpoteza huyu mtu itakua too late
Maendeleo hayaletwi kwa kubembelezana, hata kwako kwenye familia usipokua imara na mwenye msimamo familia ya watu watano itakushinda, achilia mbali watu milioni 60, imagine baba unarudi nyumbani Kila mtu anataka demokrasia, mke anataka kula hiki, mtoto hiki, dada wa kazi hiki, inafika mahali baba ukiamua Leo ni wali mboga mboga period hakuna mjadala
Stallin aliua watu mamilioni na mamilioni ili waanze safari upya kwenda kwenye maendeleo, hakuna nchi wamepata maendeleo the easy way, huko us red indians wameuliwa sana
Mwisho ya yote hapo china, mao mnyama alikua hajui kubembeleza, ni kupiga kazi mwanzo mwisho ukizubaa unakufa, ndo alileta nidhamu ya kazi china huko mpaka Leo
Huku vijana wapo busy na kubet, uchawa, ushoga na kulia Lia In the name of democracy
Magu alitakiwa akaze zaidi ya pale, na Kuna virusi angetakiwa aviondoe atleast Leo tungekua somewhere, watu walikua busy kuponda miradi yake Leo hii ndo wakwanza kuizindua, watu wa dar kueni na aibu, nilishatelekeza gari service road ya ubungo kuwahi mtihani chuo, foleni ilikua sio poa kipindi Iko
Amekosea ya kwake, ila let's call a spade a spade, the guy did a lot in his term!!!
Ni ujinga kuleta maendeleo Kwa nguvu,na iyo familia yako itakua ya wajinga watupu.kwaani Sasa hivi haya maendeleo tunatumia nguvu wapi??acha akili za KIJIMASiku watu wakijua kua tulipata hasara kubwa sana kumpoteza huyu mtu itakua too late
Maendeleo hayaletwi kwa kubembelezana, hata kwako kwenye familia usipokua imara na mwenye msimamo familia ya watu watano itakushinda, achilia mbali watu milioni 60, imagine baba unarudi nyumbani Kila mtu anataka demokrasia, mke anataka kula hiki, mtoto hiki, dada wa kazi hiki, inafika mahali baba ukiamua Leo ni wali mboga mboga period hakuna mjadala
Stallin aliua watu mamilioni na mamilioni ili waanze safari upya kwenda kwenye maendeleo, hakuna nchi wamepata maendeleo the easy way, huko us red indians wameuliwa sana
Mwisho ya yote hapo china, mao mnyama alikua hajui kubembeleza, ni kupiga kazi mwanzo mwisho ukizubaa unakufa, ndo alileta nidhamu ya kazi china huko mpaka Leo
Huku vijana wapo busy na kubet, uchawa, ushoga na kulia Lia In the name of democracy
Magu alitakiwa akaze zaidi ya pale, na Kuna virusi angetakiwa aviondoe atleast Leo tungekua somewhere, watu walikua busy kuponda miradi yake Leo hii ndo wakwanza kuizindua, watu wa dar kueni na aibu, nilishatelekeza gari service road ya ubungo kuwahi mtihani chuo, foleni ilikua sio poa kipindi Iko
Amekosea ya kwake, ila let's call a spade a spade, the guy did a lot in his term!!!
You should send him to the courtInnocent? A murderer can never be innocent
He's already cremated in the fiery lake of burning sulfur in hell.You should send him to the court
Binadam nisiyekuwa CHADEMAMkuu wewe ni Binadamu?
But he was alive,why you didn't do itHe's already cremated in the fiery lake of burning sulfur in hell.
Tena chuki binafsi😂😂Ulitaka iitwe Mbowe?
Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.
Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.
Nadhani hizi ni chuki