Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

sasa treni kajenga yy tulikua hatunayo miaka 50 tangu uhuru !! na ni wazo lake we unapinga kama nani? we ndo umejenga !
si unenge yako uipe jina la mama yako😂😂😂

Hii nchi kuna mabwabwa hii
 
Pole sana. Dkt Samia oyeee
 
Ulitaka iitwe Mbowe?
Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli
Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.
Nadhani hizi ni chuki
Every majina ya wanasiasa
Stend, meli, stesheni, majengo, madaraja.
Hakuna majina mengine kama ya vivutio vya kitalii na mengine.
Ingeitwa Dar es salaam rail way station, Dodoma rail way station, Morogoro railway station INGEKUAJE??

#YNWA
 
Tupe jina la babako tuite

USSR
 
Mwishowe each and every piece of nchi itaitwa Magufuli.And,that's monotonous and hideous as well.It's enough now!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…