Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Na Magu aliwanyoosha hao wezi,matapeli na wezi wa mali za Umma

Huko Marekani wanapokimbilia na ushoga wao waaulize wanauwa watu wangap
Mimi binafsi ikiwa Magu alihusika kuwapoteza drug dealers, wanaoua albino, wenye kuua watu Ili kuuza viungo vya binadamu,arm Robers, Abarikiwe huko aliko.

Ila wanaharakati kisiasa, sikubaliani na huo ubaya.
 
Childish opinion!!
 
Kweli wangeita mbowe ungefurahi.
 
Nielewe nini hapo ,ujinga ni kupinga kitu ambacho hautakaa ukibadilishe
Shetani hajawahi kumshinda Mungu, Hizo Daladala tu zimeandikwa Temeke-Stesheni Au Tandika-Mbezi, Hakuna Temeke-Magufuli wala Dar-Kikwete
 
Ok, tumekusikia. Tunabadilisha- Mwanza ndio iitwe Magufuli na Dar Nyerere. Umeridhika!
 
chuki zako binafsi usiziingize kwenye siasa utaumia mkuu
 
JPM ndio rais bora kuwahi kutokea Tanzania.Tanzania bado inamlilia JPM, Zaid ya asilimia 70 ya Watanzania bado Wanatamani uwepo wa JPM . Tanzania ya JPM ilikuwa bora kwa miaka 50 mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…