Ulipotelewa ndugu WA karibu kwenye ujenzi wa SGR?Umewahi kupotelewa na ndugu yako wa karibu
Reli ya SGR na kupotelewa ndugu mbona havihusiani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipotelewa ndugu WA karibu kwenye ujenzi wa SGR?Umewahi kupotelewa na ndugu yako wa karibu
Anasahau Mtu yeyote ana mazuri na mabaya yake,Malaya huyo
Walibanwa kuiba pesa na kuhongaa vibahasha ikulu sana hasira sana
Chacha Wangwe na Ulimboka na Katabaro wa gazeti la motomoto!Umewahi kupotelewa na ndugu yako wa karibu
Mimi binafsi ikiwa Magu alihusika kuwapoteza drug dealers, wanaoua albino, wenye kuua watu Ili kuuza viungo vya binadamu,arm Robers, Abarikiwe huko aliko.Na Magu aliwanyoosha hao wezi,matapeli na wezi wa mali za Umma
Huko Marekani wanapokimbilia na ushoga wao waaulize wanauwa watu wangap
Childish opinion!!Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Kweli wangeita mbowe ungefurahi.Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Ama hujaelewa mada ama wewe ni mjingaKweli wangeita mbowe ungefurahi.
Nielewe nini hapo ,ujinga ni kupinga kitu ambacho hautakaa ukibadilisheAma hujaelewa mada ama wewe ni mjinga
Shetani hajawahi kumshinda Mungu, Hizo Daladala tu zimeandikwa Temeke-Stesheni Au Tandika-Mbezi, Hakuna Temeke-Magufuli wala Dar-KikweteNielewe nini hapo ,ujinga ni kupinga kitu ambacho hautakaa ukibadilishe
Ok, tumekusikia. Tunabadilisha- Mwanza ndio iitwe Magufuli na Dar Nyerere. Umeridhika!Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi
Iteni Mwanza na DarOk, tumekusikia. Tunabadilisha- Mwanza ndio iitwe Magufuli na Dar Nyerere. Umeridhika!
Ni kweli shetani ataendelea kushindwa hata kwenye uchaguzi 2025 tutamuona shetani akianguka upesi kama kawaida yake.Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Hoja ya Walioshindwahamia burundi
Tutaendelea kuita kituo Cha treni ya mwendokasi Morogoro, Dodoma, Kilosa, nk nk au hatutaeleweka jamani?Pinga pinga Fc lopolopo Fc mwambie Mbowe ajenge Choo machame tuite choo cha Mbowe la sivyo jinyonge imeitwa na huna la kufanya kwa mlimpinga Magufuli kuhusu ujenzi wa SGR ya Majina hayawahusu
chuki zako binafsi usiziingize kwenye siasa utaumia mkuuHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Mamia wametekwa unasema chuki zangu binafsi!chuki zako binafsi usiziingize kwenye siasa utaumia mkuu
JPM ndio rais bora kuwahi kutokea Tanzania.Tanzania bado inamlilia JPM, Zaid ya asilimia 70 ya Watanzania bado Wanatamani uwepo wa JPM . Tanzania ya JPM ilikuwa bora kwa miaka 50 mbele.Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)