Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Kama ni mafanikio wananchi watayaona wenyewe; kila awamu ulifanya mengi mazuri...why awamu hii yatangazwe kwa nguvu?

Viongozi wa dini jikiteni zaidi kwenye somo la utoaji...hasa fungu la kumi kwa sisi wakristo hatujui umuhimu wake!!
 
Wapi takukuru.....meli hiyo!!
 
Kwanza ni dini gani hizo mkuu Erythrocyete, isije ikawa ni dini za CCM ; halafu tukaanza kulaumu bila kujua!

Hawa mamluki wanaotumia dini kufanya siasa wakati umefika wa kuwafunua na kuwapiga vita kweli kweli wananchi wajue.

Ni lazima sasa kuwakabili bila kujali kura za waumini wao wanaowaongoza.

Tanzania haiwezi kuwa taifa la kipuuzi kiasi hiki.
 
tutawapinga hadi wakimbie
 
Hawana hiyo haki ,mbona maaskofu kila mara wanatoa waraka wa kuipinga serikali ,hakuna ajabu hapo wako sawa mno
 
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
 
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…