Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zakoWavae na mashati ya kijani kabisaaa. Wavue kanzu zao
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zakoHawa viongozi wa dini watakao kubali kutumiwa basi wanajiaibisha mbele ya jamii
Ni wanufaika,wasiwe bias,waeleze na mabaya pia
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zakoHawawezi kukosoa maana tayari wamesha andaliwa nini wakaseme.
Uovu katu hauwezi ishinda Jamii.Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
Hahahaha yamejificha ndani kuliko hata nguo ya ndaniHaya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Ni shida viongozi wa dini ni wanafiki na mayuda wakubwa lazima jehanum iwahusu kwa unafiki waoHao hao hata kama machoni mwa watu wanaonekana ni dhaifu lkn wana wafuasi wao wanao WAKUBALI na kuwaamini.
Yakiwageuka awachelewi kukana jogoo Kama shehe wa darHawawezi kukosoa maana tayari wamesha andaliwa nini wakaseme.
Huyo shehe mkuu wa dsm hana tofauti na gwajima, wapo kimaslahi tu.Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Mbona nguvu nyingi inatumika kuelezea mafanikio? Kwann wasiache mafanikio yajioneshe?
Maji yamezidi unga, maccm yanahangaika kila kona.Haya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Hatutawaachia wapotoshe jamii
Wewe wangekusanyika kupinga ungeunga mkono.Utaafiki hivyo hivyo kama viongozi wa dini watakusanyika Kwa lengo la kuelezea mabaya ya serikali ya awamu ya 5?
Viongozi wa dini kwa nafasi zao wanapaswa kuunga mkono au kukosoa serikali, napinga hili la kukusanyika kwa ajili ya hilo!
Kama yupi tofauti na mzushi Ponda?Hao viongozi wa dini wanaokemea sio hao wanaokamatwa na kuwekwa jela na kuchunguzwa uraia wao?
Wasanii tu hawa jamaaPropaganda na Hali halisi ni vitu viwili tofauti.
Umezitoa kitabu gani hizi kazi?kazi ya Askofu si kusifia wanadamu bali....
1. kukemea
2. kuombea baraka
3. kuombea uponyaji
4. kutoa sifa kwa Mungu