Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Uchaguzi 2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

Poor timing. Si jambo la busara kufanya jambo la namna hiyo kipindi nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu! Ni jambo la ajabu na aibu kwa viongozi wa dini! Lengo lao hasa ni nini?
 
Kuna viongozi wa dini au wajasiriamali wa dini?
Hao ni watoza ushuru kupitia imani ya dini,hutakuja kumuona askofu au Padre wa makanisa yanayo jitambua, zaidi ya watoza ushuru kina Gwajima,Mzee wa upako na kina shekh ubwaba wa Dar.
 
Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
[emoji23] [emoji23]... Huoni kwamba ww ndio unayeteseka kujibu hoja zote kwa jibu moja?.

Go back to school so u can learn how to use your brain effectively
 
Bagonza anasemaje?
Bagonza kwani anajaribu kumfurahisha mfalme ili alipwe kama hao!? Bagonza ahitaji kualikwa kwenda Ikulu kunywa chai, hao wanaotaka kualikwa kunywa chai na kugonga biriani Ikulu jumlisha bahasha za kaki waache wamnadi mfalme.
 
Sijaona ulazima wakufanya yote hayo,kwani watu hawayaoni hayo mazuri mpaka wanatumia nguvu kubwa hivyo kuwaaminisha watu uongo.
Shughuli haijafanyika wewe umekwisha jua kuwa utaaminishwa uongo?
 
Tangu 2015 nilipomsikia askofu wetu BARNABAS MTOKAMBALI aliposimama madhabahuni na kuonyesha wazi wazi ushawishi kwetu ili waumini tuipigie kura CCM ,SIJAWAHI kurudi tena kanisani

Namuomba Mungu wangu kimya kimya,na sadaka yangu nasaidia wahitaji basi,na MUNGU ananibariki vizuri kabisa

Nadhani Kuna haja ya sisi waumini kutafakari kwa kina juu ya aina ya Viongozi wetu wa dini tulio nao,wengi wao si Viongozi thabiti wa dini,hata ukandamizaji wa wazi unapofanywa na watawala,wataishia kuwasifia tu...

[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Jambo la muhimu ni kuendelea kufuata maelekezo ya wataalamu ikiwa ni pamoja na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia msisahau na barakoa sehemu zenye mikusanyiko!
 
Shughuli haijafanyika wewe umekwisha jua kuwa utaaminishwa uongo?
Eee ni uongo tena uliotukuka wanataka waelezee kitu gani kwani nani hajaona mpaka wamu elezee.
Au hujui wanataka kufanya nini?
Wanataka kuwalazimisha watu kuwa Mbuyu ulivyo kuwa mdogo ulikuwa kama mchicha.kawaambie waache huo ujinga mwenye macho haambiwi ona..
 
Hamna kiongozi wa dini hapo ni wachumia tumbo na waganga njaa kupitia dini
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Upuuzi mtupu hawa viongozi wa dini UCHWARA wakae pembeni au pia waitwe Viongozi wa dini ambao wanaona yesu wa lugola hastahili kurudi madarakani nao waongee yao tena hadharani akina Sheikh Ponda. Askofu Bagonza etc

Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!

Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.

Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?

Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.

 
Jukumu la viongozi wa dini ni kuita vikao vya kuikosoa tu serikali na sio kuipamba.....ni dhambi kufanya hivyo......
 
Upuuzi mtupu hawa viongozi wa dini UCHWARA wakae pembeni au pia waitwe Viongozi wa dini ambao wanaona yesu wa lugola hastahili kurudi madarakani nao waongee yao tena hadharani akina Sheikh Ponda. Askofu Bagonza etc
Jukumu la viongoZi wa dini kukosoa tu...na sio kuipamba....
 
Bagonza anasemaje?
Kwa wapinzani demokrasia ni kuitukana na kuikosoa serikali tu kinyume na hapo si demokrasia.....Bagonza ni mwana demokrasia kwa kunena wanayopenda kuyasikia.....

Hapo ndio zilipogota akili za wanaopigania katiba inayoangalia usawa na uhuru wa kutoa maoni........


Kwa lugha nyepesi ni wanafiki......
 
Back
Top Bottom