Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi lakini? Hasira zishapungua?Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
Naona anajitahidi kukomaa na mimi utadhani anataka kila mtu awaze anachowaza na kutaka yeye. Naomba tumpuuze tuMisukule ya lumumba ni hovyo kabisa, idiot!
More than that. Achana nayeIdiot
Hao ni watoza ushuru kupitia imani ya dini,hutakuja kumuona askofu au Padre wa makanisa yanayo jitambua, zaidi ya watoza ushuru kina Gwajima,Mzee wa upako na kina shekh ubwaba wa Dar.Kuna viongozi wa dini au wajasiriamali wa dini?
[emoji23] [emoji23]... Huoni kwamba ww ndio unayeteseka kujibu hoja zote kwa jibu moja?.Unateseka sana sisimizi ww wa kufinyangwa na kidole ukatoboka kabisa mambo yanakuzidi akili maarifa na uelewa achana Nayo si level zako
Bagonza kwani anajaribu kumfurahisha mfalme ili alipwe kama hao!? Bagonza ahitaji kualikwa kwenda Ikulu kunywa chai, hao wanaotaka kualikwa kunywa chai na kugonga biriani Ikulu jumlisha bahasha za kaki waache wamnadi mfalme.Bagonza anasemaje?
Shughuli haijafanyika wewe umekwisha jua kuwa utaaminishwa uongo?Sijaona ulazima wakufanya yote hayo,kwani watu hawayaoni hayo mazuri mpaka wanatumia nguvu kubwa hivyo kuwaaminisha watu uongo.
Eee ni uongo tena uliotukuka wanataka waelezee kitu gani kwani nani hajaona mpaka wamu elezee.Shughuli haijafanyika wewe umekwisha jua kuwa utaaminishwa uongo?
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Jukumu la viongoZi wa dini kukosoa tu...na sio kuipamba....Upuuzi mtupu hawa viongozi wa dini UCHWARA wakae pembeni au pia waitwe Viongozi wa dini ambao wanaona yesu wa lugola hastahili kurudi madarakani nao waongee yao tena hadharani akina Sheikh Ponda. Askofu Bagonza etc
Kwa wapinzani demokrasia ni kuitukana na kuikosoa serikali tu kinyume na hapo si demokrasia.....Bagonza ni mwana demokrasia kwa kunena wanayopenda kuyasikia.....Bagonza anasemaje?