Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

Ccm wanapanda bure kwa kutumia kadi za ccm?
 
Pings pia wasilipe kodi katika shughuli zao zote zinazotozwa kodi
 
Hiyo treni watu hawapandi kwa kadi za vyama bali nauli zao. Na hamna mtu anashoboka nayo maana vyombo vya usafiri vya uhakika vipo kibao. Naona unadhani hiyo treni ilikuwa mali binafsi ya dhalimu magu.
 
Endelea kulala kwenye sofa za mmeo
 
Nyumbu msio na aibu nyie, unatukana mradi alafu unakuwa wa kwanza kuutumia , mbwa nyie
Mbwa nyie maccm mradi umejengwa kwa kodi zetu maamuma hata hamajui kitu mataahira wakubwa nyie.
 
Huna akili
 
Hiyo ni Kodi zetu wote, kunachohojiwa ni matumizi yaliyo sahihi
 
Kodi zao ulipokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…