Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Waseme wengine. Lile lipumbavu limeangukia pua. Soon utaliskia vyuma vimetatuka linatakiwa lirudi kutibiwa ndo imetoka. Kaja kudai hela zake mbona kasema
Tatizo ulikosea shabaha siku ya tukio Dodoma. Tungekuwa tumeshamsahau Lisu.
 
Labda inawezekana anamaanisha katiba iliyopo hawawajibishi viongozi wanaposhindwa kudhibiti majanga
 
Soma katiba ibara ya 99-(1) utaelewa maana ya maneno ya lisu. Katiba inamruhusu Rais asababishe ugumu was maisha kwani imemruhusu kutoza chochote bila kuingiliwa na bunge.
 
Huo mchele wa 900 ushawahi kuula au unabwabwaja kama vipi tushawaambia kamfufueni mje muendelee kula michele ya 900 kama huwezi piga kimya ya kale yamepita na sasa ni mambo mapyaaaaaaa tunateleza tu ww unaelalamikia hadi chakula una maisha duni sana
 
Ujio wa Lissu umelivuruga mno lile kundi la yule dikteta, ndio maana nyuzi kuhusu Lissu zinafunguliwa kila muda..
 
Ishu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.

Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
umeeleza safi kwani tusipokua makini katiba itawanufaidha wanasiasa tu kama ilivyo kenya wakati wa chaguzi tu ndo katiba itaonekana imefanya kazi
 
We mpumbavu hakuna familia inayotenga sukari mezani kama mlo ,sukari ni kiungo kama ilivyo chumvi.
 
Jambo zuri ni kwamba Watanzania wengi Leo siyo wajinga kama baadhi ya wanasiasa wnavyofikiri. Huwezi kumwambia mtu athari za COVID-19 zilizovuruga chumi za nchi nyingi Duniani zilisababishwa na kukosekana kwa katiba mpya Tanzania kakuelewa. Ni vigumu kumwambia Mtanzania kuwa mabadiliko tabia nchi na uhaba wa mvua maeneo mengi jambo lililosababisha uhaba wa vyakula na kupelekea bei ya vyakula kuongezeka yamesabishwa n CCM.

Tanbihi: hata sana mbovu kuna wakati inakuwa sahihi
 
Unajua hata maana ya katiba kweli,?
Katiba mpya inaletanga mvua?, Au inalima?,,,
Bei zitakaposhuka mwezi june, kipindi cha mavuno hiyo itakua katiba gani?,
Serikali haipangi bei ya bidhaa, hata mtoto wa chekechea anajua bei ya vitu huamliwa na Supply and demand, na siyo katiba mpya au kuukuu🤷🏻‍♂️
 
Katiba nzuri ni pale serikali itafungua maghala yake na kutoa akiba ya pesa kuwezesha wananchi wapate mahitaji kwa bei rahisi wanayomudu.
 
Akili kubwa imetumika hapa. Ningekuwa karibu nawe, ningekununulia makange ya Ngamia
 
Nakula mahindi milipuko hapa.

Huwa nafurahi kukuta mada za Kupinga/Bila kupinga

Nitawapongeza nyote mlio kazini kwa kuendesha Propaganda.
Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Waomani,Wazungu,,Wasomali na Wahindi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli? au Jakaya, au Mwinyi?


Niulize tu, Mbona nyie CHADEMA hamna jeuri ya kusema ni matunda(matatizo)ya CCM tunayolishwa badala ya Kukimbilia Magufuli, Wanyarwanda, Waburundi mbona hamuwataji Wagagaigikioko?

Wapuuzi sana CHADEMA na nyote wanaowatumia. Iwe ni Mabeberu wa CCM, Mabeberu wa Siasa, Mabeberu Uchwara Mabeberu wa Ulaya, Mabeberu wa Omani, Mabeberu wa Ubeligiji yaani kila aina ya Ubeberu....

Pamoja na hadaa kubwa inayoendeshwa na CCM, Ni afadhali Wananchi wawachague wao, kwani kuna uwezekano Mkubwa Magufuli(ii) atatokea mumo. Lakini kwa Ulaghai na Uhadaa unaoendeshwa na CHADEMA hapana. HAPANA muwe wakweli.

Aluta Continua.

Kitaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…