KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Unataka aende wapi acha ubaguzi wa kijinga weweWa kurudi kwao ni huyo
Lissu asije kutuchafulia amani ya nchi yetu hapa. Yani mtu anahangaika na wazungu kutwa, wanae kawaacha nje kaja kuwasomba wapumbavu hapa. Na nyie mnaingia kingi.
Kwa hiyo we unaamini lissu anauchungu na hili taifa? Pathetic
Mkuu ukitoka mifano uangalia muktadha wa Africa, hivi Tanzania ukiweka katiba inayompa Rais mamlaka kama huyo wa China unadhani ufisadi utakuaje?Ishu sio katiba mpya tu, ishu ni usimamizi wa hio katiba. Mambo yakiendelea kama yalivyo hata zikija version mpya za katiba kila mwaka hatufiki popote.
Katiba iwe inasimamiwa na vyombo vya dola atakaekiuka anakula umeme chap.
Unapokosa check and balance kwenye mfumo.wa katiba ,automaticaly utasababisha matatizo kwa raia .Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Kwa wachumba zake anako isemeleaga Tanzania. Baba zima linaisemelea nchi yake twitter ndo mnategemea aje awe rais. Si wataongoza wazunguUnataka aende wapi acha ubaguzi wa kijinga wewe
Magufuri hakumtaka hata kifdogo lakini kafa kibudu pia na wewe humtaki kumbuka korona ipo hata mafua ya ndege yapo,kumbuka Lisu ni chaguo la Mungu kwa sababu anatetea wananchi wazalendo na siyo wezi.Kwa wachumba zake anako isemeleaga Tanzania. Baba zima linaisemelea nchi yake twitter ndo mnategemea aje awe rais. Si wataongoza wazungu
Inasikitisha sana mkuu, imagine mtu anaongelea shida ya umeme ilhali anajua kabisa top wa hiyo wizara hagusiki , kwa sababu ya katiba mbovu!Inaonesha dhahiri waTanzania Wana uelewa mdogo sana juu ya masuala mbali mbali yanayohusu katiba......
Kama mwananchi hajui namna Gani au madhara ya katiba mbovu yanavyomgusa basi tuna wananchi wenye mitazamo ya mifano ya mbuzi wanaofugwa........
Ndio maana serikali inazidi kufifisha ubora wa elimu utawala wao uendelee.......
Ndio maana wananchi wanaamini kila wanachofanyiwa na serikali ni hisani na sio uwajibikaji
Tundu lissu ni jinga lenye kujiamini sana. Nasema jinga kwa sababu licha ya ujuzi wake wa sheria na ujanja mkubwa kwenya kuzitafsiri sheria kwenye siasa ni bomu kubwa. Huwezi kuleta ujanjaujanja wa kiwakili kwenye siasa.Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Its a long process, wakenya wanaweza wasiwe na maisha mazuri leo , ila wapo kwenye right track.Wakenya Wana katiba mpya
Je imerahisisha maisha yao?
da hapa katia aibu familia yake sanaaaaaKama mtu anashindwa kumuheshimu mke wake ndo atakuja kuwaheshimu watanzania na shida zenu? Lissu ana busiana na mzungu wakati ana mke. Ela za matibabu anaenda kugongea mimama ya kizungu
View attachment 2496093
Hawezi kueleweka kwa sababu kama wengi kama yeye anafikiri katiba ni jibu la kila kitu.Umeeleza vizuri sana,ila sijui kama atakuelewa
Huwezi jadili hoja ambayo inahitaji higher mental faculty na huyuJadili hoja CV ndio zimeliangamiza Taifa letu. kujua bei ya mchele kunahitaji cv
Na chama pia😂da hapa katia aibu familia yake sanaaaaa
Kwakuwa yeye ni mwanadamu mkamilifu au sio. Ndo maana akafika nchi za nje na kuanza kumchamba marehemu. SawaMagufuri hakumtaka hata kifdogo lakini kafa kibudu pia na wewe humtaki kumbuka korona ipo hata mafua ya ndege yapo,kumbuka Lisu ni chaguo la Mungu kwa sababu anatetea wananchi wazalendo na siyo wezi.
Sasa wewe kwa kabichwa kako hako ka gb 1 utaweza kweli kuelewa hoja za Lissu?Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Utafungua kesi wakuangalie tu, si jalada la kesi itazungushwa na unaweza ukapandikiziwa bangi kwako ili wakuharibie maana raisi yuko juu ya Judge. Nani atakubali mwenyekiti asumbuliwe na kajamba nani.Mkuu ukitoka mifano uangalia muktadha wa Africa, hivi Tanzania ukiweka katiba inayompa Rais mamlaka kama huyo wa China unadhani ufisadi utakuaje?
Kenya walau iwe mfano kidogo, najua ufisadi au umasikini haujaisha ila uwajikibaji walau umeongezeka. Umeona 80% ya wabunge na magavana hawakuchaguliwa tena!! bajeti na sera mbovu huwa zinapingwa mahakamani tofauti na hapa hata tukiona tozo zinatuumiza hatuna pa kufungulia kesi.
So tujifunze kwa jirani zetu au sauzi tuache mifano ya china sijui Saudi Arabia maana muktadha ni tofauti sana.