zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwani nani kasema kesi itafunguliwa kwa katiba ya sasa? Kutakua na mahakama huru kama Kenya hivyo Rais hatoi mshahara Wala kuteua majaji so obvious kajamba nani anaweza kushinda kesi kama Ile ya BBIUtafungua kesi wakuangalie tu, si jalada la kesi itazungushwa na unaweza ukapandikiziwa bangi kwako ili wakuharibie maana raisi yuko juu ya Judge. Nani atakubali mwenyekiti asumbuliwe na kajamba nani.
Reforms zianzie kwenye Judiciary judge asimtegemee raisi kwenye kula yake. Hapo ndio tutaona mabadiliko ya kweli ila kuundwe chombo ambacho kinaweza mwajibisha judge akidodge kufanya maamuzi ambacho ni private kwa kutumia katiba.
Mimi nilimwelewa Lissu kuwa katiba imerundika madaraka makubwa ya ki-Mungu mtu kwa Rais, anaamua lolote juu yenu, lakini kungekuwa na mfumo wa katiba mzuri unaoweza kudhibiti mamlaka ya Rais, hali isingekuwa hivi. Kwa Sasa maisha magumu au mazuri hutegemea Rais aliyepo anaendeshaje nchi. Mfumo wa katiba nzuri, Rais ndiye atakayefuata katiba inasemaje, sivyo ilivyo katiba hii ambayo Rais ni Mungu mtu anaamua tu mtaishije.Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Japo simkubali Lisu kama individual lakini nakubali argument yake...Nimeona huruma watanzania wanashindwa kwenye kutambua mambo ya msingi na mambo ya propagandaHaya Ni mambo Magumu, weka CV yako tuone tunabishana na level gani, maana ulivyoanza, ingawa sikusoma yote unatia mashaka
Atamwelewa wapi humu kumejazana ngumbaru.Umeeleza vizuri sana,ila sijui kama atakuelewa
Marehemu mwenyewe alitaka kumwua Lissu baada ya kushindwa kumwua akamnyima matibabu na akamvua Ubunge,kama ni wewe ungeendelea kusifia hilo jambo?Kwakuwa yeye ni mwanadamu mkamilifu au sio. Ndo maana akafika nchi za nje na kuanza kumchamba marehemu. Sawa
Na VISA yake bado anayo, haijaisha.......Wa kurudi kwao ni huyo
Lissu asije kutuchafulia amani ya nchi yetu hapa. Yani mtu anahangaika na wazungu kutwa, wanae kawaacha nje kaja kuwasomba wapumbavu hapa. Na nyie mnaingia kingi.
Kwa hiyo we unaamini lissu anauchungu na hili taifa? Pathetic
Magufuli ndo alimvua ubunge? Ukiambiwa ulete ushahidi wa kwamba alitaka kumuua utauleta?Marehemu mwenyewe alitaka kumwua Lissu baada ya kushindwa kumwua akamnyima matibabu na akamvua Ubunge,kama ni wewe ungeendelea kusifia hilo jambo?
Ndiyo hilo halina ubishi.Magufuri ni mhusika katika matendo machafu au mabaya aliyofanyiwa Lisu 100%Magufuli ndo alimvua ubunge? Ukiambiwa ulete ushahidi wa kwamba alitaka kumuua utauleta?
Nataka nikuulize,Magufuri alipokuwa anakufa alimwomba nani ruhusa kuwa nimekufa?Magufuli ndo alimvua ubunge? Ukiambiwa ulete ushahidi wa kwamba alitaka kumuua utauleta?
Wewe unauliza maswali?!!!Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.
1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?
2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?
3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?
4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?
Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.
Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Chunga mdomo huo. Hukumu chenye uhakikaNdiyo hilo halina ubishi.Magufuri ni mhusika katika matendo machafu au mabaya aliyofanyiwa Lisu 100%
Wewe ni fala?Nataka nikuulize,Magufuri alipokuwa anakufa alimwomba nani ruhusa kuwa nimekufa?
Usiniteshe,umbumbumbu wenu uliisha tangu Tarehe 17/03/2021.Chunga mdomo huo. Hukumu chenye uhakika
Ubarikiwe.Wewe ni fala?
Wewe unawaza marinda kama mwenzako huyu!Katiba ingetuwezesha kumkamata yule baba aliyekuwa anakwapua kodi zetu bila utaratibu kununua ndege na kula genji. Katiba ingemdhibiti yule mtakatifu aliyeamua kupeleka maendeleo yote bila tija kijijini kwao. Katiba ingethibiti majambazi yanayotumia 500bn kujinunulia magari ya anasa.
Tukifanya yote tungebaki na fedha za kufanya changamoto zote ulizotaja na nyingi nyinginezo ziondoke!
Mkuu! Ukushakuwa na Rais ambae hayaoni matatizo na kuyachukulia hatua stahiki!Hapana, napingana nawe kwasababu zifuatazo;
- Unapodai kuhusu tozo chanzo chake ni katiba, unakuwa umeandika statement iliyojifunga, kwasababu, katiba ni maandishi tu, yaliyopo kwenye makaratasi, hivyo ili hayo maandishi yawe na impact [positive au negative] lazima yapelekwe kwenye vitendo..
Sasa swali la kujiuliza, ni nani anayepeleka hayo mambo kwenye vitendo?
Jibu ni Rais, yeye ndie hupeleka hayo yote kwenye vitendo, kwasababu kama tujuavyo, ili sheria yoyote iliyopitishwa na bunge ianze kufanya kazi, sharti itiwe sahihi na Rais ili ianze kutumika, hivyo kama sheria hiyo itakuja kuwa na maumivu kwa mtanzania, wakulaumiwa ni Rais kwasababu yeye ndie aliyeruhusu itumike.
- Kuhusu ruzuku na kushuka kwa uzalishaji unadai chanzo ni muundo mbovu wa serikali, sasa kwani kiongozi wa hiyo serikali ni nani? jibu ni Rais, huyu ndie anayepanga serikali yake iwe vipi, kama ikiwa na muundo mbovu, basi yeye ndie chanzo cha kushindwa kuipanga serikali yake lazima alaumiwe.
- Kuhusu kukatika kwa umeme nako unailaumu Katiba, huu wako sasa ni usanii, unadai viongozi sio wawajibikaji, nikuulize nani mwenye jukumu la kuwateua hao viongozi? jibu ni Rais, hivyo kama ameamua kuwakumbatia viongozi wasio wajibika, lawama lazima ziende kwake, fair and square!.
- Kufungua mipaka na wageni kuingia nako unalaumu Katiba kwasababu viongozi hawawajibiki, swali kwako tena, kwanini nani mwenye jukumu la kuwateua na kuwatengua viongozi wasiowajibika? jibu ni Rais.
Pitia post zangu nasema sana tu punguza nyegeHao wengine kwa nini usiwe mmojawao?Umebana mkia unachezea simu.
Hizo posts ndizo zitakutetea ujinga uliouonesha?Yani nifikirie haupo uchi kwa sababu kuna mwaka uliwahi kuvaa nguo zikakusitiri kinena?What a stupid!Pitia post zangu nasema sana tu punguza nyege