Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Napingana na Tundu Lissu kuwa ugumu wa maisha umesababishwa na Katiba

Utafungua kesi wakuangalie tu, si jalada la kesi itazungushwa na unaweza ukapandikiziwa bangi kwako ili wakuharibie maana raisi yuko juu ya Judge. Nani atakubali mwenyekiti asumbuliwe na kajamba nani.

Reforms zianzie kwenye Judiciary judge asimtegemee raisi kwenye kula yake. Hapo ndio tutaona mabadiliko ya kweli ila kuundwe chombo ambacho kinaweza mwajibisha judge akidodge kufanya maamuzi ambacho ni private kwa kutumia katiba.
Kwani nani kasema kesi itafunguliwa kwa katiba ya sasa? Kutakua na mahakama huru kama Kenya hivyo Rais hatoi mshahara Wala kuteua majaji so obvious kajamba nani anaweza kushinda kesi kama Ile ya BBI
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Mimi nilimwelewa Lissu kuwa katiba imerundika madaraka makubwa ya ki-Mungu mtu kwa Rais, anaamua lolote juu yenu, lakini kungekuwa na mfumo wa katiba mzuri unaoweza kudhibiti mamlaka ya Rais, hali isingekuwa hivi. Kwa Sasa maisha magumu au mazuri hutegemea Rais aliyepo anaendeshaje nchi. Mfumo wa katiba nzuri, Rais ndiye atakayefuata katiba inasemaje, sivyo ilivyo katiba hii ambayo Rais ni Mungu mtu anaamua tu mtaishije.
 
Haya Ni mambo Magumu, weka CV yako tuone tunabishana na level gani, maana ulivyoanza, ingawa sikusoma yote unatia mashaka
Japo simkubali Lisu kama individual lakini nakubali argument yake...Nimeona huruma watanzania wanashindwa kwenye kutambua mambo ya msingi na mambo ya propaganda
 
Kwakuwa yeye ni mwanadamu mkamilifu au sio. Ndo maana akafika nchi za nje na kuanza kumchamba marehemu. Sawa
Marehemu mwenyewe alitaka kumwua Lissu baada ya kushindwa kumwua akamnyima matibabu na akamvua Ubunge,kama ni wewe ungeendelea kusifia hilo jambo?
 
Wa kurudi kwao ni huyo
Lissu asije kutuchafulia amani ya nchi yetu hapa. Yani mtu anahangaika na wazungu kutwa, wanae kawaacha nje kaja kuwasomba wapumbavu hapa. Na nyie mnaingia kingi.

Kwa hiyo we unaamini lissu anauchungu na hili taifa? Pathetic
Na VISA yake bado anayo, haijaisha.......
 
Vijana wa ccm kuelewa jambo niwagumu Sana

Alisema Ili jambo lolote lijadiliwe na bunge kwadharula nilazima president awe ameruhusu ,mwenendo huu upandaji chakula na uozo mwingine ,means rais hajataka mambo yajadiliwe pengine ...
 
Marehemu mwenyewe alitaka kumwua Lissu baada ya kushindwa kumwua akamnyima matibabu na akamvua Ubunge,kama ni wewe ungeendelea kusifia hilo jambo?
Magufuli ndo alimvua ubunge? Ukiambiwa ulete ushahidi wa kwamba alitaka kumuua utauleta?
 
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba.

1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka ya nchi yetu na kuruhusu Wakenya,Wanyarwanda,Wakongomani na Warundi kumiminika hadi mashambani huko vijijini kulangua mazao? hali ilikuwaje miaka ya Magufuli?

2. Katiba ndio imeweka Tozo za miamala ya kibenki na mitandao ya simu? hali ilikuwaje miaka mitano ya Magufuli?

3. Je! Katiba ndio imesababisha wakulima kukosa mbolea na kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa mazao?

4. Katiba ndio imesababisha umeme ukatike mara kwa mara na kusababisha uzalishaji viwandani kushuka na kupandisha bei za bidhaa?

Katiba mpya ni hitaji muhimu lakini kuna matatizo hayasababishwi na Katiba na wewe umekwepa kusema waliotufikisha hapa kwa sababu unazozijua wewe na kusingizia Katiba.

Miaka 5 ya Magufuli tulikuwa tunatumia Katiba gani wakati mchele ukiuzwa 900 hadi 1,200 na sasa tunatumia Katiba gani mchele ukiuzwa 4,000
Wewe unauliza maswali?!!!
 
Katiba ndo system au mfumo wa Kila jambo kwenye nchi na Lisu kusema katiba ndo inaleta kila kitu hata chakula mezani yupo sawa, katiba inafanishwa na maziwa ya mama kwa mtoto mchanga na ndo maana inaitwa mother land yaani bila ardhi huwezi kusimama Bali kulala tu yaani ukiwa umedondoka imagine pale tetemeko la ardhi linapotokea kama unaweza kusimama bila kuanguka Sasa bila katiba iliyobora hakuna kitu kizuri kinachoweza kufanyika zaidi ya tetemeko kwa Kila mtu kasoro aliyesehemu isiyo na tetemeko yeye atasikia malalamiko ya tetemeko bila kumuathiri.

Sasa kwa vile system au mfumo ndo kitu Mungu alituelekeza tuwe tunaanza nacho Ili mambo mengine yawe sawa basi hatuna budi kuhitaji Kwanza hiyo katiba Bora na Ili uamini zaidi kwanini hao waliounda serikali mwanzo waliweka katiba iliyofaa kwa wakati huo? Ni Ili wapate mfumo Bora na dhabiti wa kuwaongoza na sasa unatakiwa uwe update Ili uendane na wakati tuliopo, Mungu alisema katika ngazi ya familia cha Kwanza baba anatakiwa awe na kazi Ili aweze kutoa mahitaji ya familia Sasa angalia vijana ambao ni baba wa kesho hawana kazi sasa hicho chakula na mahitaji ya familia vitatoka wapi? Iwapo katiba bora inayoendana na wakati uliopo itatengenezwa basi wananchi watataka serikali ndogo watayoimudu kuihudumia na vyeo vingi vitaondolewa kwenye system ya kutumikiwa na wananchi Bali vikawa vyeo vya kufanya kazi zinazoonekana na hao wengi waliokuwa mzigo kwa wananchi watasimama kwenye msingi wa kudai mazingira ya uwepo wa kazi Ili nawao waingize kipato, imagine Leo watu wanalia chakula bei ghali wakati Kuna mikoa mvua mwaka mzima au Kuna sehemu za kuchimba visima vya umwagiliaji lakini wakuu wa mikoa na wilaya wapo hawajitikisi kusaidia hivyo visima kwa vile ya kupewa vyeo vya kupokea mishahara, Kuna mikoa inaishi kwa soko moja tu yaani watu kupata mahitaji mpaka waende mjini wapoteze muda hakuna mipango ya kusogeza masoko makubwa Kila sehemu Ili kuleta ajira nyingi zitazoleta chakula mezani, Barabara mpya za kusogeza huduma karibu inakuwa wimbo hakuna maamuzi ya kufikiri kwa wakati tuliopo, mambo mengi kama maji, elimu, umeme, hospital pamoja na teknolojia vyote ni vyanzo vya ajira na huduma vinafanyika kwa njia ya propaganda kwa kizazi cha Leo yaani bosheni kwamba mfano mnaahidiwa hospital kubwa cha ajabu inajengwa zahanati, Sasa haya yote ya bosheni na propaganda Ili yazimwe tunaona katiba mpya ni muhimu maana italeta msingi wa kuwajibika na kazi na hata hiyo slogan ya kazi iendelee maana yake bila kuwafanya watu wafanyekazi au kuweka mifumo ya Kila mtu kufanya kazi basi hakuna atayeweza kula na kupata mahitaji yake.
 
Katiba ingetuwezesha kumkamata yule baba aliyekuwa anakwapua kodi zetu bila utaratibu kununua ndege na kula genji. Katiba ingemdhibiti yule mtakatifu aliyeamua kupeleka maendeleo yote bila tija kijijini kwao. Katiba ingethibiti majambazi yanayotumia 500bn kujinunulia magari ya anasa.
Tukifanya yote tungebaki na fedha za kufanya changamoto zote ulizotaja na nyingi nyinginezo ziondoke!
Wewe unawaza marinda kama mwenzako huyu!
JamiiForums1113933941.jpg
 
Hapana, napingana nawe kwasababu zifuatazo;

- Unapodai kuhusu tozo chanzo chake ni katiba, unakuwa umeandika statement iliyojifunga, kwasababu, katiba ni maandishi tu, yaliyopo kwenye makaratasi, hivyo ili hayo maandishi yawe na impact [positive au negative] lazima yapelekwe kwenye vitendo..

Sasa swali la kujiuliza, ni nani anayepeleka hayo mambo kwenye vitendo?

Jibu ni Rais, yeye ndie hupeleka hayo yote kwenye vitendo, kwasababu kama tujuavyo, ili sheria yoyote iliyopitishwa na bunge ianze kufanya kazi, sharti itiwe sahihi na Rais ili ianze kutumika, hivyo kama sheria hiyo itakuja kuwa na maumivu kwa mtanzania, wakulaumiwa ni Rais kwasababu yeye ndie aliyeruhusu itumike.

- Kuhusu ruzuku na kushuka kwa uzalishaji unadai chanzo ni muundo mbovu wa serikali, sasa kwani kiongozi wa hiyo serikali ni nani? jibu ni Rais, huyu ndie anayepanga serikali yake iwe vipi, kama ikiwa na muundo mbovu, basi yeye ndie chanzo cha kushindwa kuipanga serikali yake lazima alaumiwe.

- Kuhusu kukatika kwa umeme nako unailaumu Katiba, huu wako sasa ni usanii, unadai viongozi sio wawajibikaji, nikuulize nani mwenye jukumu la kuwateua hao viongozi? jibu ni Rais, hivyo kama ameamua kuwakumbatia viongozi wasio wajibika, lawama lazima ziende kwake, fair and square!.

- Kufungua mipaka na wageni kuingia nako unalaumu Katiba kwasababu viongozi hawawajibiki, swali kwako tena, kwanini nani mwenye jukumu la kuwateua na kuwatengua viongozi wasiowajibika? jibu ni Rais.
Mkuu! Ukushakuwa na Rais ambae hayaoni matatizo na kuyachukulia hatua stahiki!

Hata ukiwa na katiba ya Umeme ni kazi bure kabisaaa!
 
Back
Top Bottom