Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
What a stupid ndo nini kahangaike na grammar kwanza. Punguza shobo dume zimaHizo posts ndizo zitakutetea ujinga uliouonesha?Yani nifikirie haupo uchi kwa sababu kuna mwaka uliwahi kuvaa nguo zikakusitiri kinena?What a stupid!
Mimi nimehangaika na grammar.Nini gramae?Kama sentensi nyepesi hivyo inakushinda basi bado kachanga.What a stupid ndo nini kahangaike na grammar kwanza. Punguza shobo dume zima
Kweli wewe ni mchanga katika nchi hii bila shaka. Lissu ni mmoja wa watanzania kupinga sheria na utaratibu mbaya wa sheria za madini. Lissu ndiye mtu wa kwanza kusimama kidete kuwatetea wananchi dhidi ya dhulma waliokua wanafamyiwa wananchi wa Nyamongo na mgodi waq North Mara bila malipo mpaka akafungwa na kupigwa ban asiende tena Nyamomgo. (Kasome :THE LOST GOLDEN OPPORTUNITY IN TANZANIA.Amelifanyia nini hili taifa labda mambo ambayo ameyafanya ni
Kuwasaidia Acacia kuishtaki Tanzania Acacia waliokuwa wanatuibia dhahabu zetu wanabeba hadi mchanga.Lissu alishupalia walipwe ndio wafukuzwe.
Kufurahia pale ndege za Tanzania ziliposhikiliwa na wazungu kisa madeni
Kuishtaki jamhuri ya Tanzania kwa ndugu zake wazungu. Lissu ni kati yatu wanafiki sana na ni wakala wa hao wazungu ndio maana anarudi wakati wa uchaguzi tu na hata familia yake ameihamishia ulaya baada ya uchaguzi anarudi kwao ulaya.
Acha utoto kwenye jukwaa kama ili.Lissu ndio arudi kwao Belgium 🇧🇪
Wakae watulie maana walituharibia CCM yetu hao watu.Ujio wa Lissu umelivuruga mno lile kundi la yule dikteta, ndio maana nyuzi kuhusu Lissu zinafunguliwa kila muda..
Mbona siku hizi ili jukwaa limejaa balee tuAlafu angeoneakanaga The Late JPM enzi hizo mbona mishipa ingewasimama. Lissu is a failure bwana akapumzike nje huko asituchoshe sie
Unaongea ukiwa ubelegijiKweli wewe ni mchanga katika nchi hii bila shaka. Lissu ni mmoja wa watanzania kupinga sheria na utaratibu mbaya wa sheria za madini. Lissu ndiye mtu wa kwanza kusimama kidete kuwatetea wananchi dhidi ya dhulma waliokua wanafamyiwa wananchi wa Nyamongo na mgodi waq North Mara bila malipo mpaka akafungwa na kupigwa ban asiende tena Nyamomgo. (Kasome :THE LOST GOLDEN OPPORTUNITY IN TANZANIA.
Lakini pia Lissu ndiye mtu wa kwanza kupinga kuuzwa kwa Rufiji Delta kwa mzungu mpaka hayati Mkapa akampeleka ndani kabisa, Ujui kua tunapo jenga JNHPP kua palikua pauzwe kabisa.
Mh.Lissu ndiye mtu wa kwanza kupigania haki za watanzania asa za uhuru wa kutoa maoni, kuchagua kiongozi nk haki ambazo zilikua zinapokwa na serikali nk.
Siku nyingine kua makini ukiwa unaongea vitu humu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Wewe ndio mtoto wa mwisho wa huyo lissuAcha utoto kwenye jukwaa kama ili.