Kweli wewe ni mchanga katika nchi hii bila shaka. Lissu ni mmoja wa watanzania kupinga sheria na utaratibu mbaya wa sheria za madini. Lissu ndiye mtu wa kwanza kusimama kidete kuwatetea wananchi dhidi ya dhulma waliokua wanafamyiwa wananchi wa Nyamongo na mgodi waq North Mara bila malipo mpaka akafungwa na kupigwa ban asiende tena Nyamomgo. (Kasome :THE LOST GOLDEN OPPORTUNITY IN TANZANIA.
Lakini pia Lissu ndiye mtu wa kwanza kupinga kuuzwa kwa Rufiji Delta kwa mzungu mpaka hayati Mkapa akampeleka ndani kabisa, Ujui kua tunapo jenga JNHPP kua palikua pauzwe kabisa.
Mh.Lissu ndiye mtu wa kwanza kupigania haki za watanzania asa za uhuru wa kutoa maoni, kuchagua kiongozi nk haki ambazo zilikua zinapokwa na serikali nk.
Siku nyingine kua makini ukiwa unaongea vitu humu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI