Ama kweli
Tate Mkuu ni mchawi aliyeshindikana,siku tano zilizopitaa ulitokea upepo mkali Sana,ukanizoa kimaajabu na kunipeleka kusikojulikana nimekuja kugundua kuwa Niko Tanga baada ya kuona sura ya mzee Sana inayofanana na avatar ya
Tate Mkuu ama hakika nilipata msoto wa maana,nitasimulia,
Kwanza mzee huyu alinichapa viboko 7 ambavyo kwa uelewa wake alikuwa anadhani ananipiga Mimi,ukweli ni kwamba Mimi nilifundishwa uchawi na Babu yangu manengelo niliweka mti akawa anautimba huku Mimi nikichekelea
Kunikomoa zaidi mzee
Tate Mkuu akanipeleka shambani kwake,akanikabidhi shamba lake nilime Cha ajabu nilimaliza mapema mno nikimuacha mdomo wazi,kumbe aliponiacha nikawaita misukule ya mzee manengelo ikaja kumi nikaisimamia ikalima chapu
Vile vile mzee
Tate Mkuu ktk msosi akajiapiza eti anikomoe akaniletea unga uliochanganywa na maji (sio uji) eti ninywe nilicho kufanya nikisema hapa nae hataamini,nilifanya hivi,nilichukua unga ule nikauweka mezani kwake Kisha Mimi nikachukua mtori wake nikanywa
Tate Mkuu alikuja kuufakamia mchanganyiko wa unga ule na akaanza kuhara na mpaka Sasa amelazwa ktk moja ya hospital za kienyeji huko
Tanga boy
Ili kunikomoa niliondoka na kuchukua baadhi ya misukule yake Sasa naicharaza viboko Kama ngoma,
Vile vile nikapita kwa kina
SweetyCandy nikachukua na Sasa ni mke wangu wa ukweli na ananipenda Sana😅😅😅
Kama unauwezo jiponye mkuu
Tate Mkuu ugua pole manengelo namtukuza milele ningechukuliwa misukule na kizee hiki