Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Na mimi ni mganga mashuhuri wa kienyeji huku Kwa Msisi Tanga! Akitokea kijana akakumendea, namgeuza msukule mara moja. Sitaki utani hata kidogo. Na kama huamini, jiulize holoholo yuko wapi!
Ama kweli Tate Mkuu ni mchawi aliyeshindikana,siku tano zilizopitaa ulitokea upepo mkali Sana,ukanizoa kimaajabu na kunipeleka kusikojulikana nimekuja kugundua kuwa Niko Tanga baada ya kuona sura ya mzee Sana inayofanana na avatar ya Tate Mkuu ama hakika nilipata msoto wa maana,nitasimulia,

Kwanza mzee huyu alinichapa viboko 7 ambavyo kwa uelewa wake alikuwa anadhani ananipiga Mimi,ukweli ni kwamba Mimi nilifundishwa uchawi na Babu yangu manengelo niliweka mti akawa anautimba huku Mimi nikichekelea

Kunikomoa zaidi mzee Tate Mkuu akanipeleka shambani kwake,akanikabidhi shamba lake nilime Cha ajabu nilimaliza mapema mno nikimuacha mdomo wazi,kumbe aliponiacha nikawaita misukule ya mzee manengelo ikaja kumi nikaisimamia ikalima chapu

Vile vile mzee Tate Mkuu ktk msosi akajiapiza eti anikomoe akaniletea unga uliochanganywa na maji (sio uji) eti ninywe nilicho kufanya nikisema hapa nae hataamini,nilifanya hivi,nilichukua unga ule nikauweka mezani kwake Kisha Mimi nikachukua mtori wake nikanywa Tate Mkuu alikuja kuufakamia mchanganyiko wa unga ule na akaanza kuhara na mpaka Sasa amelazwa ktk moja ya hospital za kienyeji huko Tanga boy


Ili kunikomoa niliondoka na kuchukua baadhi ya misukule yake Sasa naicharaza viboko Kama ngoma,

Vile vile nikapita kwa kina SweetyCandy nikachukua na Sasa ni mke wangu wa ukweli na ananipenda Sana😅😅😅

Kama unauwezo jiponye mkuu

Tate Mkuu ugua pole manengelo namtukuza milele ningechukuliwa misukule na kizee hiki
Na mimi ni mganga mashuhuri wa kienyeji huku Kwa Msisi Tanga! Akitokea kijana akakumendea, namgeuza msukule mara moja. Sitaki utani hata kidogo. Na kama huamini, jiulize holoholo yuko wapi!
 
OKay ulimchukua yule msukule mdada mremboo jamani mrudishe
 
Mtafutie na mshauri aongee naye, yawezekana ni yule mtoto wake aliyekufa inamzidishia kuchanganyikiwa.
 
Walokole ndo akili zao.wao wanawaza kulogwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…