Napitia wakati mgumu sana kila ikifika siku ya kuzaliwa

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya kula inanishinda hali hiyo itaendelea hadi miezi ya mbele kidogo ndio inaanza kupotea na kuwa na afadhali kidogo katika mzunguuko wangu wa fedha

Hii kitu inanishangaza sana kila nikijaribu njia za kuepukana nayo hasa katika bajeti na matumizi lakini najikuta kwenye mtego kwakuwa kipato kinakuwa kigumu pindi inapokaribia miezi ya birthday. Najua kuna multicultural society humu hebu nipeni mbinu nifanyeje wakuu

Nawasilisha
 
Hii kitu kitu inabishangaza sana kila nikijaribu njia za kuepukana nayo hasa katika bajeti na matumizi lakini najikuta kwenye mtego kwakuwa kipato kinakuwa kigumu pindi inapokaribia miezi ya birthday. Najua kuna multicultural society humu hebu nipeni mbinu nifanyeje wakuu

Nawasilisha
pole sana, mimi jinamizi hilo linanijia siku za sikukuu.....
 
Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya kula inanishinda hali hiyo itaendelea hadi miezi ya mbele kidogo ndio inaanza kupotea na kuwa na afadhali kidogo katika mzunguuko wangu wa fedha

Hii kitu inanishangaza sana kila nikijaribu njia za kuepukana nayo hasa katika bajeti na matumizi lakini najikuta kwenye mtego kwakuwa kipato kinakuwa kigumu pindi inapokaribia miezi ya birthday. Najua kuna multicultural society humu hebu nipeni mbinu nifanyeje wakuu

Nawasilisha
Eeh inakukumbusha kwamba Duniani hukuja na kitu na utaondoka bila kitu! Mungu mwema pambana.
 
Back
Top Bottom