Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
- Thread starter
-
- #21
Dah, nchi ngumu sana hiiNimeshangaa sana kuna kampuni moja iliita wafanyakazi ngazi tofauti kuanzia udereva mpaka project manager ila mshahara wa juu ulikuwa 700k na bado nyomi kama lote na vyeti vyao kabisa
Hiyo ni sawa na sh. ngapi? Ili na sisi tunaotafuta ajira tupate mwangaSasa najiuliza nyinyi wa mjini mnaopokea mshahara ngazi hii mnawezaje na maisha yalivyo sasahivi?
mbinu hii inatumikaje nami niifanye hela ipoWatakuingiza kwenye database moja kwa moja kisha zikitokea nafasi zinazohusu taaluma yako wanakupangia.
nimekupm inbox yako naomba tuwasiliane 0744 31 12 47Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko mkoa, kanda au sehemu gani kulingana na uchumi wa eneo husika mfano mtu alieajiriwa katikati mwa Dar na alieajiriwa Arusha maisha ni magumu lakini alieajiriwa sehemu za nyanda za juu kusini maisha ni poa vyakula vingi n.k.
Unaogopa interview?hakuna shortcut mzee,lazima ufanye interviewnimekupm inbox yako naomba tuwasiliane 0744 31 12 47