dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 695
- Thread starter
- #41
Asante mkuuPole sana mkuu,mambo haya yanawakumba sana hata Tellers wa bank,ni mambo ya mauzauza,wanapoteza pesa na kujikuta wana shoti zisizoisha kila wakati,matokeo yake wanajikuta pesa zao za mishahara zinaishia kulipa hizo shoti.Cha muhimu mkuu fanya maombi ya kuombea eneo lako la kazi,vifaa vyako,line zako,simu,kibanda n.k.kinyume cha hapo hutakaa ufanikiwe kwenye biashara zako,ni damu ya Yesu tu ndio inakuhusu ili kuweza kuvunja hizo nguvu za giza....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app