Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Niliondoka kidogo nikaenda Sweden, Canada, USA, UK, Egypt, Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu.
Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea nchini.
Anyway... Mimi huwa napaona Tanzania ndio home. Ingawa ndugu zangu wananishangaa sana maana wao wamechagua makazi nchi za Uchumi wa Kwanza plus plus.
Kama kuna wadau watakuwa na muda waje airport tupate nafasi ya kuonana nami kuwakabidhi zawadi zao. Naweza waletea watu 15. Simu za Iphone au Samsung toleo lolote watakalo kama tu zawadi kwa kudumisha amani nchini.
Pia nadhani itakuwa sawa kama tukipata muda wote Hotel ya Serena kwa ajili ya Lunch na Dinner na Malazi ya siku 7 wakati home kule Oysterbay kukifanyiwa usafi. Sikuwepo zaidi ya mwezi. Ingawa nilikuwa sitaki mjue hilo.
Kuna Kampuni ya Usafi ishachukua Tender ya usafi pale home.so nitakaa kwanza Hotelin ili wakifanya usafi wa observe ndani ya siku 7 kama pako tayari binadamu kuishi au vipi.
Mimi nmepata Chanjo ya Corona nilitaka niwaletee baadhi ya watu lakini Mamlaka hairuhusu.ningewanunulia tu watanzania wenzangu.
Nlitaka kuwauliza hali ya hewa vipi... nikakumbuka kwangu haina tofauti.sijawahi kupata shida ya joto nikiwa Dar. Gari AC,Ofisi AC, home AC hata nikiwa nje kibarazani na bembea AC. So sijui hata majira ya joto Dar ni yapi.
Wadau nataka nilete Escalade ya Mwaka 2020. Inafanyiwa tu mchakato kwa Tz nimeambiwa bado hamna mwenye nayo. Ingawa hofu yangu itakuwa Mkiona tu hiyo gari mnajua Bill Luggie anapita. Nami sipendi kuonekana sana.
Shida ni kwa mabinti.... Wanaleta mpaka nilipo nanii zao nawagomea kabisa.maana mimi nina utaratibu situmii tu nanii za mabinti. Unakuta mtu ana date bint mzuri ila kilaza naye anaambukizwa ukilaza.
Upumbavu unaambukiza epuka hayo mambo. Nakuja. Plz watu kama 15 mjikusanye.only smart guys.tukutane. na kama huna nguo nzuri na viatu vya kuvaa siku unakuja nipokea tuwasiliane.nitumie size ya hivyp vitu. Pia kama unapenda zawadi toka huku mbali na simu nijulishe tu. Hizi pesa zipo kwa ajili ya matumizi siyo kwamba tunahifadhi. Kwani zitawekwa makumbusho?
Wadau nakuja nliwamiss sana huku JF. Nawapenda. Msiwe na uchungu mioyoni mwenu.kunjueni mioyo muone furaha na raha za duniani.