Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
mkuu kwani johari rotana weshaifungua Ile hotel si walifunga toka kipindi Cha corona?Mkuu nafikiri tuachane na Serena tupeleke Johari Rotana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwani johari rotana weshaifungua Ile hotel si walifunga toka kipindi Cha corona?Mkuu nafikiri tuachane na Serena tupeleke Johari Rotana
ulikua wapi wakati anachange I'd toka kidukulilo to Bill Lugano a.k.a Bill Logue?We Bana stori zako hata hazivutii kama za Kiduku lilo
Hawajafunga, Hotels zilifungwa kwa miezi kama ilizidi sana miwili au mutatu mwaka janamkuu kwani johari rotana weshaifungua Ile hotel si walifunga toka kipindi Cha corona?
Usichukulie kila kitu serious.View attachment 1828329
kwa usalama wa afya ya akili yako huyu marryjane ni bora umnyonge mwenyewe maana pusha hachelewi kukuchanganyia mavi ya kuku na majani ya chai, pole sana ndugu Bill Lugano