Narudi nyumbani, Kama mtakuwa na muda mji organize tukutane airport

Niliondoka kidogo nikaenda Sweden,Canada,USA,UK,Egypt,Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu.

Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea nchini.

Anyway... Mi huwa napaona Tanzania ndo home. Ingawa ndugu zangu wananishangaa sana maana wao wamechagua makazi nchi za Uchumi wa Kwanza plus plus.

Kama kuna wadau watakuwa na muda waje airport tupate nafasi ya kuonana nami kuwakabidhi zawadi zao. Naweza waletea watu 15. Simu za Iphone au Samsung toleo lolote watakalo kama tu zawadi kwa kudumisha amani nchini.

Pia nadhani itakuwa sawa kama tukipata muda wote Hotel ya Serena kwa ajili ya Lunch na Dinner na Malazi ya siku 7 wakati home kule Oysterbay kukifanyiwa usafi. Sikuwepo zaidi ya mwezi. Ingawa nilikuwa sitaki mjue hilo.

Kuna Kampuni ya Usafi ishachukua Tender ya usafi pale home.so nitakaa kwanza Hotelin ili wakifanya usafi wa observe ndani ya siku 7 kama pako tayari binadamu kuishi au vipi.

Mimi nmepata Chanjo ya Corona.nlitaka niwaletee baadhi ya watu lakini Mamlaka hairuhusu.ningewanunulia tu watanzania wenzangu.

Nlitaka kuwauliza hali ya hewa vipi...nikakumbuka kwangu haina tofauti.sijawahi kupata shida ya joto nikiwa Dar. Gari AC,Ofisi AC,home AC hata nikiwa nje kibarazani na bembea AC. So sijui hata majira ya joto Dar ni yapi.

Wadau nataka nilete Escalade ya Mwaka 2020. Inafanyiwa tu mchakato.kwa Tz nmeambiwa bado hamna mwenye nayo. Ingawa hofu yangu itakuwa Mkiona tu hiyo gari mnajua Bill Luggie anapita. Nami sipendi kuonekana sana.

Shida ni kwa mabinti.... Wanaleta mpaka nilipo nanii zao nawagomea kabisa.maana mimi nina utaratibu situmii tu nanii za mabinti. Unakuta mtu ana date bint mzuri ila kilaza.naye anaambukizwa ukilaza.

Upumbavu unaambukiza epuka hayo mambo. Nakuja. Plz watu kama 15 mjikusanye.only smart guys.tukutane. na kama huna nguo nzuri na viatu vya kuvaa siku unakuja nipokea tuwasiliane.nitumie size ya hivyp vitu. Pia kama unapenda zawadi toka huku mbali na simu nijulishe tu. Hizi pesa zipo kwa ajili ya matumizi siyo kwamba tunahifadhi...kwani zitawekwa makumbusho?

Wadau nakuja nliwamiss sana huku JF. Nawapenda. Msiwe na uchungu mioyoni mwenu.kunjueni mioyo muone furaha na raha za duniani.
Wahaya kwa sifa! Ama mmejaliwa[emoji86][emoji86][emoji86][emoji1][emoji1]
 
Mwandiko kama wa Le Mutuzz
 
Hahahaaa kama anapesa aseme watu 10 tu tuweke namba atutumie pesa via Worldremit hata elfu 10 ya kununulia bundle.

Akifanya hivyo tu nita approve kwamba pesa ipo...100k ni ndogo sana kwa mtu mwenye pesa pia anaweza akaongeza dau kwa hao watu 10.
Si kasema hapo juu watu waende Airport wakakutane huko kuna zawadi na ofa nyingine kibao, au hujasoma hapo juu
 
Si kasema hapo juu watu waende Airport wakakutane huko kuna zawadi na of a nyingine kibao, au hujasoma hapo juu

Amesema kwa watakaoenda kama hawana nguo au viatu wamtumie vipimo awaletee!! Sasa kwa kuanza na zoezi simple tu la kutuma miamala worldremit ndio itakayoonyesha kwamba ana fedha au lah.

Watu humu wanamjua kidukulilo mzee wa kuuza chai hakuna hata mmoja atakayeenda huko airport na usikute jamaa anakaa kwa shemeji huko Buza kwa Mpalange.
 
Niliondoka kidogo nikaenda Sweden,Canada,USA,UK,Egypt,Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu.

Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea nchini.

Anyway... Mi huwa napaona Tanzania ndo home. Ingawa ndugu zangu wananishangaa sana maana wao wamechagua makazi nchi za Uchumi wa Kwanza plus plus.

Kama kuna wadau watakuwa na muda waje airport tupate nafasi ya kuonana nami kuwakabidhi zawadi zao. Naweza waletea watu 15. Simu za Iphone au Samsung toleo lolote watakalo kama tu zawadi kwa kudumisha amani nchini.

Pia nadhani itakuwa sawa kama tukipata muda wote Hotel ya Serena kwa ajili ya Lunch na Dinner na Malazi ya siku 7 wakati home kule Oysterbay kukifanyiwa usafi. Sikuwepo zaidi ya mwezi. Ingawa nilikuwa sitaki mjue hilo.

Kuna Kampuni ya Usafi ishachukua Tender ya usafi pale home.so nitakaa kwanza Hotelin ili wakifanya usafi wa observe ndani ya siku 7 kama pako tayari binadamu kuishi au vipi.

Mimi nmepata Chanjo ya Corona.nlitaka niwaletee baadhi ya watu lakini Mamlaka hairuhusu.ningewanunulia tu watanzania wenzangu.

Nlitaka kuwauliza hali ya hewa vipi...nikakumbuka kwangu haina tofauti.sijawahi kupata shida ya joto nikiwa Dar. Gari AC,Ofisi AC,home AC hata nikiwa nje kibarazani na bembea AC. So sijui hata majira ya joto Dar ni yapi.

Wadau nataka nilete Escalade ya Mwaka 2020. Inafanyiwa tu mchakato.kwa Tz nmeambiwa bado hamna mwenye nayo. Ingawa hofu yangu itakuwa Mkiona tu hiyo gari mnajua Bill Luggie anapita. Nami sipendi kuonekana sana.

Shida ni kwa mabinti.... Wanaleta mpaka nilipo nanii zao nawagomea kabisa.maana mimi nina utaratibu situmii tu nanii za mabinti. Unakuta mtu ana date bint mzuri ila kilaza.naye anaambukizwa ukilaza.

Upumbavu unaambukiza epuka hayo mambo. Nakuja. Plz watu kama 15 mjikusanye.only smart guys.tukutane. na kama huna nguo nzuri na viatu vya kuvaa siku unakuja nipokea tuwasiliane.nitumie size ya hivyp vitu. Pia kama unapenda zawadi toka huku mbali na simu nijulishe tu. Hizi pesa zipo kwa ajili ya matumizi siyo kwamba tunahifadhi...kwani zitawekwa makumbusho?

Wadau nakuja nliwamiss sana huku JF. Nawapenda. Msiwe na uchungu mioyoni mwenu.kunjueni mioyo muone furaha na raha za duniani.
Ee banaee njoo na chopa, ile ya Trump.
 
Karibu sana Rwechungura!
 
Vipi tajiri tunakuja na majani ya kukupepea au tubebe vitambaa , na vipi tujipange kabisa Barabarani
 
Wadau nataka nilete Escalade ya Mwaka 2020. Inafanyiwa tu mchakato kwa Tz nimeambiwa bado hamna mwenye nayo. Ingawa hofu yangu itakuwa Mkiona tu hiyo gari mnajua Bill Luggie anapita.

Saivi mtakua wawili na mondi , so ikipita Escalade tu tunajua ni mmoja wenu
 
Back
Top Bottom