Narudi nyumbani, Kama mtakuwa na muda mji organize tukutane airport

Wahaya kwa sifa! Ama mmejaliwa[emoji86][emoji86][emoji86][emoji1][emoji1]
 
Mwandiko kama wa Le Mutuzz
 
Hahahaaa kama anapesa aseme watu 10 tu tuweke namba atutumie pesa via Worldremit hata elfu 10 ya kununulia bundle.

Akifanya hivyo tu nita approve kwamba pesa ipo...100k ni ndogo sana kwa mtu mwenye pesa pia anaweza akaongeza dau kwa hao watu 10.
Si kasema hapo juu watu waende Airport wakakutane huko kuna zawadi na ofa nyingine kibao, au hujasoma hapo juu
 
Si kasema hapo juu watu waende Airport wakakutane huko kuna zawadi na of a nyingine kibao, au hujasoma hapo juu

Amesema kwa watakaoenda kama hawana nguo au viatu wamtumie vipimo awaletee!! Sasa kwa kuanza na zoezi simple tu la kutuma miamala worldremit ndio itakayoonyesha kwamba ana fedha au lah.

Watu humu wanamjua kidukulilo mzee wa kuuza chai hakuna hata mmoja atakayeenda huko airport na usikute jamaa anakaa kwa shemeji huko Buza kwa Mpalange.
 
Ee banaee njoo na chopa, ile ya Trump.
 
Karibu sana Rwechungura!
 
Vipi tajiri tunakuja na majani ya kukupepea au tubebe vitambaa , na vipi tujipange kabisa Barabarani
 
Wadau nataka nilete Escalade ya Mwaka 2020. Inafanyiwa tu mchakato kwa Tz nimeambiwa bado hamna mwenye nayo. Ingawa hofu yangu itakuwa Mkiona tu hiyo gari mnajua Bill Luggie anapita.

Saivi mtakua wawili na mondi , so ikipita Escalade tu tunajua ni mmoja wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…