Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

Pombe Wala Haina shida...imekaa zake kwenye chupa imetulia tuli...wewe ndiyo unashida, pombe haijakulazimisha uinywe ,umeifata mwenyewe na unaindekeza ...ukiona pombe inakuletea matatizo Fanya juu chini,pinduka binuka uachane nayo
Tumesha waelimisha Sanaa..hawaelewi.
 
 
Moja Kati ya Uzi Bora huu Mwaka.

Pombe ni rafiki mkubwa wa vitu vitatu
: Umaskini
: Maradhi
: Akili ndogo (Aibu)

Mtu akitumia pombe Vibaya akawa addicted it's over .

Pombe ni heroin iliyochangamka if you know you know .

Moja ya kitu nasicho kikubali recently ni Pombe. That's why nawashauri vijana wenzangu tuitumie kwa manati.

Financial Freedom na Pombe ni maadui!

You nailed it Fren.
Mtu akitumia pombe Vibaya akawa addicted it's over .

Nilitaka niaanze kukukandia lakini huo mstari uliowela hapo juu ume neutralize kila kitu
 
Back
Top Bottom