min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
😁😁 vichwa watupu.View attachment 3179572
View attachment 3179573
View attachment 3179575
Hawa wote sio wajinga..
Cc. min -me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁 vichwa watupu.View attachment 3179572
View attachment 3179573
View attachment 3179575
Hawa wote sio wajinga..
Cc. min -me
Tumesha waelimisha Sanaa..hawaelewi.Pombe Wala Haina shida...imekaa zake kwenye chupa imetulia tuli...wewe ndiyo unashida, pombe haijakulazimisha uinywe ,umeifata mwenyewe na unaindekeza ...ukiona pombe inakuletea matatizo Fanya juu chini,pinduka binuka uachane nayo
Ndio maana wanakuambia kunywa kistaharabuWachaga wengi tu pombe zimewaribu na kuwafilisi hasa vijana wanaojitafuta...wachaga wakipunguza pombe hakika watafika mbali sana kimaendeleo
Hawa wanywa soda 🥤 juice wana matatizo.😁😁 vichwa watupu.
Kila siku tunarudia somo lile lile tu.Hawa wanywa soda 🥤 juice wana matatizo.
Kweli mkuu.Kila siku tunarudia somo lile lile tu.
Kuna kutumia kwa manati (common sense) na kuna kutumia kwa kufakamia (no sense). Eg Konki Fire,View attachment 3179572
View attachment 3179573
View attachment 3179575
Hawa wote sio wajinga..
Cc. min -me
Asante mwerevuNakupa ushindi mjinga
Mtu akitumia pombe Vibaya akawa addicted it's over .Moja Kati ya Uzi Bora huu Mwaka.
Pombe ni rafiki mkubwa wa vitu vitatu
: Umaskini
: Maradhi
: Akili ndogo (Aibu)
Mtu akitumia pombe Vibaya akawa addicted it's over .
Pombe ni heroin iliyochangamka if you know you know .
Moja ya kitu nasicho kikubali recently ni Pombe. That's why nawashauri vijana wenzangu tuitumie kwa manati.
Financial Freedom na Pombe ni maadui!
You nailed it Fren.
Nazungumzia wanao tumia kwa Common sense 😀Kuna kutumia kwa manati (common sense) na kuna kutumia kwa kufakamia (no sense). Eg Konki Fire,
Unaongelea upande gani wa matumizi ya Pombe ?