Narudia tena kusema, Dr Ally Hussein Mwinyi anavunja record ya Maendeleo Zanzibar

Narudia tena kusema, Dr Ally Hussein Mwinyi anavunja record ya Maendeleo Zanzibar

Zanzibar inangaa kweli kweli. Huku bara ni kutazamana tu sijui hata Nini kinaendelea
Ni kwasababu unatazama kwa chuki na hisia hasi mnazolishwa huko mitandaoni na Samia haters km wa humu JF na kina kimambi na maria. Lakini ukiangalia kwa hicho huru, Huku bara Kunajengwa sana sema pande hili la ardhi limekuwa kubwa mno kiasi kwamba inahitajika jicho huru kuona. Ikiwa kinachofanyika bara kitajikusanya kwenye eneo dogo kama la Zanzibar, basi wazanzibar wangeanzisha maandamano ya kujitenga.

Haters, mtashindana lakini hamtoshinda.
 
Hata wana Chato walikuwa wanaona hivyo wakati wa Magufuli. Rais wa JMT ni Mzanzibari kwa nini Zanzibar isipate upendeleo uliopitiliza kwa gharama za rasilimali za Tanganyika?

Subiri Samia aondoke madarakani kama utakuja kuleta simulizi za Abunuasi kama hizo. Zanzibar ambayo kwa miaka luluki ilishindwa hata kulipa deni la umeme wa TANESCO leo imepata rasilimali wapi kwa ghafla hata kuweza kupata maendeleo kwa ghafla kama hayo?
Ni kupitia "available opportunity cost, Zanzibar is now better off at the cost of Tanganyika's resources"
Ndo akili za mizimu zilipoishia.
 
Mimi sijawahi mpenda raisi na kumuamini kama mwinyi jamaa ana roho nzuri ya baba yake ,lakini yeye kamzidi baba yake ana ukali wa maendeleo kama magufuli
 
Ni kweli. Niimetoka Zanzibar Barabara ni kila Kona mpaka zingine zinaishia kwenye milango ya watu.

Lakini je Zanzibar imepata wapi pesa zote hizo? Makuzanyo ya ZRA Kwa mwaka? Isije kuwa pesa za Tanganyika zinapelekwa huko

acha nadharia zisizo na mashiko
 
Back
Top Bottom