Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hiyo ni nadharia, uhalisia unakataa.Siku zote katib imewaa mamlka
Hiyo ni nadharia, uhalisia unakataa.Siku zote katib imewaa mamlka
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi wake na kulinganisha na hali ya kisiasa, kiuchuki na kijamii ilivyo sasa atakubaliana na Mimi kwamba Dr Hussein Mwinyi ameupiga Mwingi Sana.
Na Mimi Bush Dokta sitachika kumsifi na kumtia Moto yeye pamoja na team yake ya Uongozi ambayo wanaweza haya kutokea
Narudia tena kusema Dr Hussein Mwingi na Team yake wame niprove wrong.
Nawatakia kazi njema na Mungu awabariki Sana.
Shule zinajengwa za kisiasa, hospitali n vituo vya afya, miundombinu ya uchumi na Usafirishaji, utalii, Hali ya utulivu na Amani visiwani humo unazidi kuwa Bora na kuweka mazingira Bora ya biashara.
Na sasa nasikia kuna funny kuna shimo linatema Futa hapo malindi, yajayo ni Neema Tele
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.
Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.
Ndani ya miaka mitano ya utawala wa Dr Hussein Mwinyi, Barabara za Zanzibar hasa za mjini zimeng' aa mitaa imeongezeka thamani.
Barabara kuu ya Uwanja wa Ndege to Mnazi Mmoja, Kutoka kwa Mchina Mwanzo hadi Mwanakwerekwe kuelekea Bububu na zote zinazokatiza mtaa kwa mtaa ikiwemo ile ye Jang'ombe ni njia ambazo zimesumbua kwa muda...
- Bush Dokta
- hussein mwinyi kazi kazi nzuri mwinyi nzuri zanzibar
- Replies: 5
- Forum: Jukwaa la Siasa
Bado sanaKwa sasa sehemu salama ni zanzibar, I'm very sure few years to come tutaanza kuingia zanzibar kwa visa
Maendeleo yanayofanyika zanzibar it will take 50 yrs Tanzania Bara kufikia,
Nenda kaone airport zao, nenda kaone barabara zao, ni hatari,
Kama tuu dada yake huku Bara ila haters watakwambia ni pesa za Watanganyika.Jinga kabisaMnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi wake na kulinganisha na hali ya kisiasa, kiuchuki na kijamii ilivyo sasa atakubaliana na Mimi kwamba Dr Hussein Mwinyi ameupiga Mwingi Sana.
Na Mimi Bush Dokta sitachika kumsifi na kumtia Moto yeye pamoja na team yake ya Uongozi ambayo wanaweza haya kutokea
Narudia tena kusema Dr Hussein Mwingi na Team yake wame niprove wrong.
Nawatakia kazi njema na Mungu awabariki Sana.
Shule zinajengwa za kisiasa, hospitali n vituo vya afya, miundombinu ya uchumi na Usafirishaji, utalii, Hali ya utulivu na Amani visiwani humo unazidi kuwa Bora na kuweka mazingira Bora ya biashara.
Na sasa nasikia kuna funny kuna shimo linatema Futa hapo malindi, yajayo ni Neema Tele
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.
Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.
Ndani ya miaka mitano ya utawala wa Dr Hussein Mwinyi, Barabara za Zanzibar hasa za mjini zimeng' aa mitaa imeongezeka thamani.
Barabara kuu ya Uwanja wa Ndege to Mnazi Mmoja, Kutoka kwa Mchina Mwanzo hadi Mwanakwerekwe kuelekea Bububu na zote zinazokatiza mtaa kwa mtaa ikiwemo ile ye Jang'ombe ni njia ambazo zimesumbua kwa muda...
- Bush Dokta
- hussein mwinyi kazi kazi nzuri mwinyi nzuri zanzibar
- Replies: 5
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nani amfanye awe Rais? Yeye ni Rais wa Zanzibar.Badilisheni katiba mumfanye awe rais wa muungano 2030
Huku bara Kuna Nini? Nchi chafu na Barbara hakuna. Tembea Bara acha uchawa.Kama tuu dada yake huku Bara ila haters watakwambia ni pesa za Watanganyika.Jinga kabisa
Kwa hiyo we dogo hujui kwamba zenji inajengwa kwa pesa za watanganyika?Kama tuu dada yake huku Bara ila haters watakwambia ni pesa za Watanganyika.Jinga kabisa
Wewe punga kweli,nitembelee Zenj hapo mjini tuu ndio Kuna Barabara huko Pemba na maporini ziko wapi?Huku bara Kuna Nini? Nchi chafu na Barbara hakuna. Tembea Bara acha uchawa.
Ni ujinga wako tuuKwa hiyo we dogo hujui kwamba zenji inajengwa kwa pesa za watanganyika?
Huenda unasahau. Zanzibar haikushindwa kulipa TANESCO. Ilichofanya ni kudai kistaarabu dhulma ya kulipa Kodi mara mbili ie inalipa Kodi ukinunua umeme, then inalipa Kodi ukitumia umeme. Hiyo ndo Zanzibar na Wazanzibari. Wao ni elimu ya madrasa tu.Zanzibar ambayo kwa miaka luluki ilishindwa hata kulipa deni la umeme wa TANESCO leo imepata rasilimali wapi kwa ghafla hata kuweza kupata maendeleo kwa ghafla kama hayo?
Zanzibar imejengwa kwa miaka mingi hadi kufikia kuisaidia siyo tu Tanganyika, bali hata Uingereza. Tanzania imeendelea zamani siyo tu kuishinda Tanganyika, bali hata taa za mitaani ( street light) zilianza Zanzibar kabla Uingereza. Zanzibar imeendelea zamani kiasi ya kuwa na njia ya reli kabla Tanganyika kuwa nayo. Zanzibar ni nchi iliyoendelea hadi kufikia kuitawala pwani ya Tanganyika.Ni kupitia "available opportunity cost, Zanzibar is now better off at the cost of Tanganyika's resources
Matoto ya ccm lazima muwe na matusi ndo mambo yaende! Zanzibar maendeleo yanaletwa na samuya kwa pesa za watanganyika, we endelea kusifia ujinga wakati ukweli unaujua.Ni ujinga wako tuu
dogo mom wako pumbavu.
Fala kweli nani kakwambia Mimi ni mtu wa shobo na Vyama vyenu?Matoto ya ccm lazima muwe na matusi ndo mambo yaende! Zanzibar maendeleo yanaletwa na samuya kwa pesa za watanganyika, we endelea kusifia ujinga wakati ukweli unaujua.
Ok kaa kweli ukweli, anayeleta maendeleo Zanzibar ni mwinyi ama Samia?Fala kweli nani kakwambia Mimi ni mtu wa shobo na Vyama vyenu?
Rejea majibu yangu ya post ya kwanza kabisaOk kaa kweli ukweli, anayeleta maendeleo Zanzibar ni mwinyi ama Samia?
OkRejea majibu yangu ya post ya kwanza kabisa
Na huyu mama anawarahisishia mambo!Wanajipanga kusepa hapo patakuwa kama Mauritius