Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Wazungu husema; Better have something than nothing na Waswahili husema; Bora kenda kuliko kumi nenda rudi isitoshe Simba akizidiwa njaa hula nyasi. Nimeandika misemo yote hiyo ili utapate kujifunza nini maana ya "angalau" kwani wakati fulani mtu inakubidi u-compromise ili mambo yaende.

Tatizo la hizo angalau na uchafuzi wa 2020 ni katiba mbovu na ndio maana tunapigania tupate katiba mpya iliyokuwa bora ili kuondoa hizo shida nk.
Sasa mlitakiwa mpiganie hiyo katiba mpya au tume huru maana huko ndio kwenye mzizi wa tatizo na ndiko kutapatikana suluhisho, sasa kupigia kelele uchaguzi wa 2020 na kuita uchafuzi kama vile kulikuwa na uchaguzi wa haki before na ghafla 2020 mkapelekwa kwenye uchaguzi usio wa haki kumbe mlikuwa na uchaguzi wa angalau tu hamjawahi kuwa na uchaguzi wa haki.
 
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa.

Hebu fikiria yafuatayo:

1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano.

2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa fasta.

3. Wawekezaji wanakimbia daily wa nje na ndani nchi ikabaki biashara ni ngumu na ukumbuke watu walikuwa wanapoteza ajira daily ndo ikazalisha mass unemployment tunayoiona Leo.

4. Ukiamka tu asubuhi hujui kama utarudi nyumbani salama mana wasiojulikana walikuwa wametanda kila Kona na tunaogopana hasa.

5. Madudu ya yule bwana ni mengi mno natumia kuandika kitabu ili iwe fundisho kwa wengine
Bandari kuuzwa
 
To be precise, Siyo kuwakilisha mawazo yao bali kuwakilisha Mawazo ya Chama chao cha CCM.
Yote kwa yote kubwa zaidi mwishoni mawazo ya chama chao ndio hupitishwa kwa sababu ya wingi wao.
 
Back
Top Bottom