Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

Sasa mlitakiwa mpiganie hiyo katiba mpya au tume huru maana huko ndio kwenye mzizi wa tatizo na ndiko kutapatikana suluhisho, sasa kupigia kelele uchaguzi wa 2020 na kuita uchafuzi kama vile kulikuwa na uchaguzi wa haki before na ghafla 2020 mkapelekwa kwenye uchaguzi usio wa haki kumbe mlikuwa na uchaguzi wa angalau tu hamjawahi kuwa na uchaguzi wa haki.
 
Bandari kuuzwa
 
To be precise, Siyo kuwakilisha mawazo yao bali kuwakilisha Mawazo ya Chama chao cha CCM.
Yote kwa yote kubwa zaidi mwishoni mawazo ya chama chao ndio hupitishwa kwa sababu ya wingi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…