Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Ndio. Kutumia kinga obvious maana yake unazini na mtu asiye stahiki yakoHata tukitumia kinga?
Bro upo serious? sipendi zinaa,naomba kama una dada ako au mdogo ako uniozeshe.....am serious.Ndio. Kutumia kinga obvious maana yake unazini na mtu asiye stahiki yako
Zinaa Ni kufanya tendo la ndoa pasipo kabla ya ndoa, au nje ya ndoa haijalishi umetumia kinga au hujatumia.Hata tukitumia kinga?
Fisi unatafuta plan B, hiyo ni zinaa hata umwage nje hiyo ni zinaa, hata umnyonye mate hiyo ni zinaa[emoji28]Hata tukitumia kinga?
Hata tukitumia kinga?
Sure mkuu,Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo.
Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo.
Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya Zinaa.
Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi.
Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.
ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu.
Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa.
Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.
Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Waje mafisi konk ndio atajua hajuiSubiri waje wale wa kataa ndoa upigwe mawe mpaka uzimie.
Anatisha watu ili ale uroda mwenyeweeHilo jina Sasa...[emoji23]
Vp kuhusu nyetohHello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa.
Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.
ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.
Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Tumuite kiongozi mwandamizi dronedrake atolee ufafanuzi.Vp kuhusu nyetoh
Dhambi kubwa acha matumizi mabaya ya maniiVp kuhusu nyetoh
Fisi upo makini [emoji28]Usitudanganye bhna