Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

Vinavyokwamisha ndoto sio zinaa sema tu hujaweka mambo yote sawa.Kuna hiki kitu kinaitwa UBINAFSI ni zaidi ya zinaa katika kukwamisha ndoto za kila mtu
Fafanua kidgo mkuu. does it means ubinafsi unaua connections hivyo ndoto inashindwa kutimia? au Baraka unakosa kwa sababu ni mbinafsi or what? eleza kidogo mkuu
 
Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa.

Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.

ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.

Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Ukiachana na maradhi zinaa imewaacha vijana wakilalamika maisha magumu
 
Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa.

Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.

ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.

Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Tofauti ya kujamiiana na mke wako na asiye mke wako tofauti yake ni ipi? Kwamba huku pakubaliwe na huku pakataliwe?
 
Kwa mujibu wa tafiti tulizozifanya na masela apa mtaani tulifikia tamati ya awali kwa majibu saba kuhusu kiumbe kinaitwa mwanamke

. Mwanamke anauwezo wa wakunyonya nguvu ya asili aliyowekewa mwanaume (kuna maelezo apo yakiimani na kisayansi)

. Mwanamke anauwezo wakutawanya nguvu au kugawa nguvu ya asili aliyonyonya kwa mwanaume A" kwenda kwa mwanaume B ( hapa kuna ufafanuzi tena )

Kama ulishawahi sikia mambo ya mikosi mtu kamtomber dem flani amejikuta mambo yake hayaeleweki au ukisikia mtu anasema nikiwa na mwanamke flani mambo yake yanaenda sio mambo ya ushirikina ni mambo ya asili na kuna mambo yakufanya kisaikolojia ili mke wako asiwe exploiter

Kwaiyo basi zinaa inakufanya uchezee nguvu zako kwa hao viumbe kila mtu anapenda kwenda deephole ila kwasisi masikini inatakiwa tuwe makini sana
 
Kwamba mi nikae mpaka nifike miaka 30 ndo nioe nianze kudinya😏😏we kama hutaki acha ndugu yangu
 
Fafanua kidgo mkuu. does it means ubinafsi unaua connections hivyo ndoto inashindwa kutimia? au Baraka unakosa kwa sababu ni mbinafsi or what? eleza kidogo mkuu
UBINAFSI unaanzia kwa mtu,familia,mtaa mpaka taifa yani watu hawana habari na wenzao mtu ana-behave kama duniani yupo mwenyewe.

Hii ni mbaya inapofika level ya taifa.Nasema hivi ni kwasababu hao vijana wanaosemwa wamepotelea kwenye uzinzi sio kama wote wanapenda ila kuna hali kama ya kukata tamaa(japo inaweza isiwe true kwakila mzinzi) so wanaona kupoza machungu ya maisha ni kuishi tu hivyo make hawaoni future.
 
Hello!
Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 30 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa.

Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine kufa kabisa kwasababu ya zinaa.

ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.

Ikimbieni zinaa mpate kuishi maisha yenye amani na marefu.
Amina
 
Usitupangie namna ya kuishi who are you by the way [emoji3064][emoji3064]
 
Sure mkuu,

Kuna utafiti utatoka hivi karibuni unaonyesha hivi sasa kila vijana 10 wa kiume, wakipimwa afya, vijana 9.5 wanabainika wana maambukizi ya U.T.I.

Kwa vijana wa kike, ukiwapima vijana 10 wote wanagundulika wanamaambukizi ya UTI sugu.

Hii, ni kumaanisha vijana wengi zaidi ni wagonjwa na wako hatarini zaidi kunasa gono, kaswende na UKIMWI.
Uti mbona inawapata na watoto wadogo umekaaje hii?
 
Maisha yakijinsia yako jinsi yalivyotengenezwa na Mungu.Lazima kuwe na huo mchanganyiko ili yaitwe maisha.Kuoa sio lazima kwasababu ndoa ni mambo ya binadamu ila kujamiiana ni lazima ndo maana ukishabalehe unaanza kupata hamu yakujaamiana.Wewe unaweza usipotee kwenye uzinzi ila utapotea sehem nyingine ili maisha yawe maisha,kila mtu apite kwenye mzunguko wake.Kama una tatizo la nguvu za kiume pole.
 
Kwa mujibu wa tafiti tulizozifanya na masela apa mtaani tulifikia tamati ya awali kwa majibu saba kuhusu kiumbe kinaitwa mwanamke

. Mwanamke anauwezo wa wakunyonya nguvu ya asili aliyowekewa mwanaume (kuna maelezo apo yakiimani na kisayansi)

. Mwanamke anauwezo wakutawanya nguvu au kugawa nguvu ya asili aliyonyonya kwa mwanaume A" kwenda kwa mwanaume B ( hapa kuna ufafanuzi tena )

Kama ulishawahi sikia mambo ya mikosi mtu kamtomber dem flani amejikuta mambo yake hayaeleweki au ukisikia mtu anasema nikiwa na mwanamke flani mambo yake yanaenda sio mambo ya ushirikina ni mambo ya asili na kuna mambo yakufanya kisaikolojia ili mke wako asiwe exploiter

Kwaiyo basi zinaa inakufanya uchezee nguvu zako kwa hao viumbe kila mtu anapenda kwenda deephole ila kwasisi masikini inatakiwa tuwe makini sana
Hakuna kitu kama hicho ndugu.hizo ni mawazo ya binadamu katika kutapatapa kufikiri ili na lile kutaka kujifariji.Vinginevyo njoo na uthibitisho unaothibitika badala ya porojo za watu.Alafu kwanini mnawazaga ni wanawake tu ndo wenye kuwapatia wanaume mikosi?.
 
Back
Top Bottom