Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

Kwa hiyo..eehh tuache zitoke zenyewe usiku au tutafute tundu..kupata mtoto,?
Kabisa matundu mbona yapo jaman, usiache ziwe zinamwagika zenyewe sio vzr, sikijaa sanaa zitakuwa zinakusumbua kufua boxer kila siku maana wanaume wanafuaga boxer kila baada ya wiki kadhaa
 
Kabisa matundu mbona yapo jaman, usiache ziwe zinamwagika zenyewe sio vzr, sikijaa sanaa zitakuwa zinakusumbua kufua boxer kila siku maana wanaume wanafuaga boxer kila baada ya wiki kadhaa
Mama yaaaaangu...wiki kadhaa....unanipa wasiwasi...akili ya afyansky
 
Zina za ovyo mbaya sana, kuna binti kaletwa hospital ni mwanafunzi wa msingi kutoka jamii ya wafugaji.

Anagonjwa la zinaa anatokwa USAHA kachoka hata kusimama/kutembea hawezi

Najiuliza atakuwa kaambukiza wangapi coz huko ktk maboma yao usiku nikupeana ngono tu hakuna kukataa na matumizi ya Kinga hakuna
 
Au ni wale wanyantunzu wa kunfukuza ukimshika wako?
 
ZINAA ni nini?
Zinaa ni ngono au kujamiiana kinyume na mpango wa Mungu. Ukijamiiana na mtu ambaye si mume au mke wako hiyo ni zinaa. Ukifanya kinyume na maumbile hiyo ni zinaa bila kujali unafanya na mke/mume wako.
Kukataza hilo jambo bila kufanya utafiti wa chanzo chake ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, ungeanza kufanya utafiti ni nani anasababisha watu wafanye hayo na kwanini ndipo udeal naye asisababishe hilo hitaji
 
Back
Top Bottom