Well said,
Zinaa na unywaji pombe kupita kiasi(ulevi) tatizo kubwa. Tuandae kongamano na washa mbalimbali ili kuelimishana na kukumbushana kuhusu athari za ulevi na uzinifu.
Wakati tunapiga kelele katiba, na mambo haya yapigiwe kelele.
Katiba mpya na nzuri Kwa Taifa la watu walioathiriwa na zinaa, ulevi, kutokujithamini na kujitambua, wasio na staha Wala utu ni Bure.
Mapambano yoyote yanayogusa mustakabali wa Taifa letu, lazima yaambane na mikakati ya kuikomboa jamii hususani vijana kifikra na kimtazamo juu ya kujielewa, kujithamini, kujali utu.
Acha ulevi, acha zinaa, jenga Taifa lako Kwa nafac uliyonayo