Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

Watu mna matatizo ya nguvu za kiume mnaunda vichaka vya kujificha .

Piga mashine mdogo wangu nina miaka 30 napiga mashine sijawahi kuona hicho unachokisema
Waambie wenzako wanakosa utamuu hivihivi, ndio maana wana stress
 
Vipi baba wa Imani NYETO?
 
Well said,
Zinaa na unywaji pombe kupita kiasi(ulevi) tatizo kubwa. Tuandae kongamano na washa mbalimbali ili kuelimishana na kukumbushana kuhusu athari za ulevi na uzinifu.
Wakati tunapiga kelele katiba, na mambo haya yapigiwe kelele.
Katiba mpya na nzuri Kwa Taifa la watu walioathiriwa na zinaa, ulevi, kutokujithamini na kujitambua, wasio na staha Wala utu ni Bure.
Mapambano yoyote yanayogusa mustakabali wa Taifa letu, lazima yaambane na mikakati ya kuikomboa jamii hususani vijana kifikra na kimtazamo juu ya kujielewa, kujithamini, kujali utu.

Acha ulevi, acha zinaa, jenga Taifa lako Kwa nafac uliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…