NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

Africa itakuwa ngumu kuendelea kwa sababu ya mambo kama haya, hili ni jukwaa la International Forum cha ajabu wewe unaleta udini na mambo ya dini kwenye mada inayohusu science badala ya kujadili kilicho mezani.
 
Nikisemaga wavaa kubadhi mna shida kichwani naonekana mi mbaya.
 
Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini.
Yaani walikuwa na uthubutu wa kutake immeasurable amount of risk mwaka 1969 lakini wanaogopa kufanya walichofanya enzi hizo mwaka 2022 tena kwenye gap la miaka 53?

Bila shaka 1969 lunar landing ilikuwa geresha ya cold war, I stand to be corrected.
Yote kwa yote I respect their tremendous efforts juu ya science developments na space exploration.
 
Dah kwamba uzio!!!!....This is Africa baby
 
Kwa namna Fulani kuna logic kwenye uliyoyasema mkuu
 
Naweza kukubaliana kutokana baada marekani kutangaza kuwa kafika mwezini USSR alijaribu nae lakini wapi? Hivyo siamini Kama jamaa walifika kweli kwa kua tungeona Hadi China na kaenda
 
fanya kujiuliza pia
kama ile safari ya miaka 50 iliyopita
yalikuwa maigzo je! Hapa miaka yote hii iliyopita wameshindwa kufanya uigizaji mwingine ulio bora zaid ya ule wa mwanzo?
kwani wakiamua kuigiza huo uwezo wanao bila shaka yoyote,
kama waliweza enzi hizo vp leo wasituigizie ili kupunguza maswali
kwa wadau wanaokuwa na shaka juu ya hii safar,
 
Hivi unavyolikaribia jua joto linazidi au linapungua? Huko mwezini si ndio uko karibu na jua? Hizi safari sio fix kweli? Inabidi nihoji kwani siamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Joto la dunia linasababishwa na greenhouse effect maana yake unavyodizi kwenda nje ya astmosphere ya dunia ndivyo joto linavyozidi kupungua na baridi kuongezeka.
Outer space temperature ni 2.7 kelvin au -455 degree Fahrenheit yaani ni baridi isiyoelezeka.

Hata hivyo vile vyombo vyao na suit wanazovaa zimekuwa designed na cooling system.
 
Elewa hivi mara hii wanafanya tafiti za binadamu kwenda kuishi huko sio tena kwenda na kurudi Kama ilivyokuwa awali.
Kitendo cha NASA kuanzisha colony kwenye mwezi ndio mwanzo wa kuanza kwa safari ya kwenda Mars.. hivyo by 2024 wanataka waende mwezini kuishi na sio kwenda na kurudi..

Kwa upande wa space x by Elon musk yeye anataka 2024 akatulishe mtu sayari ya Mars hivyo huyu jamaa anaweza kuwashinda nasa kufika sayari ya mars.. kumbukeni NASA ipo chini ya serikali ya marekani lakini space x ya mtu binafsi.
 
Kabla ya atmosphere ndo wapi?
 
Space X na NASA wamemzidi ujanja Allah maana wanakatiza mbuga za Mars huko.
 
Inategemea ukifika thermosphere joto linazd kuongezeka kadri unavyozid kuascend..
 
Zurri nimekuwa Kisai siku hizi. Watu wanapenda sinema za Wanasayansi na visasili vyao, hawafikirii kiundani mambo haya.
 
Africa itakuwa ngumu kuendelea kwa sababu ya mambo kama haya, hili ni jukwaa la International Forum cha ajabu wewe unaleta udini na mambo ya dini kwenye mada inayohusu science badala ya kujadili kilicho mezani.
Sasa hapo kosa langu ni lipi?.
Kusema imani yangu ama ile inasema hivi kuhusu jambo fulani inakuwa ni udini?. Sawa.
 
Zurri nimekuwa Kisai siku hizi. Watu wanapenda sinema za Wanasayansi na visasili vyao, hawafikirii kiundani mambo haya.
Ooh, Ndiyo maana tag yangu imekataaa sikujua kuwa umebadili jina.
Sheikh, kuna members wanahisi nimepotosha nilichokieleza hapo juu... Ningelipenda wajue kuwa huu ujuzi wa nilichokiandika, mwanzo nilikijua kupitia wewe kabla ya kusoma AYA yenyewe..
Kuna Uzi fulan ulielezea jambo ili ila si mbaya ukitia neno pia kwenye Huu uzi Filaria asome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…