NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

We naye pumbav Tu , hizi dini mlizoletewa na wageni zimewatoa akili kabisa mmekuwa mataahira kweli kweli ,huyo Mungu we ushamuona ?
 
Ndio kilichotokea.Wahusika wote wa mchezo ule baadae wote walipotea na waliobaki hai walikuwa kama wafungwa,hawakuruhusiwa kuonana na watu wala kuhojiwa na vyombo vya habari.
Ami unajua ile ilikuwa project iliyohusisha mamia ya watu? Wangeweza kweli kuua watu wote hao bila USSR kujua?

Kumbuka USSR walikuwa tayari wana very advance technology kwenye mambo ya anga na waliweza ku intercept radio transmission toka mwezini wakati kina Armstrong wanawasiliana na wenzao duniani. Pia kumbuka USSR hata picha za re-entry ya capsule ya kina Neil kuja duniani walirecord na picha wanazo au nao walikuwa collaborator wa uongo?

Kama ingekuwa fake unadhani kweli USSR wasingesema? Maana walijua kilichotokea. Au walihongwa wafunge mdomo?

USA walirudi na rocky samples ambazo maabara sehemu mbalimbali duniani walipewa hata pale Makumbusho Dar walipewa sample. Unataka kusema dunia nzima wameshindwa kuprove kuwa yale mawe ni fake?

Mwisho unajua kwa nn USSR waliachana na mpango wa kwenda mwezini? Ni kwa sababu waliona wamepoteza kwa kushindwa kwenda wa kwanza kabla ya USA. Waliona haina maana japo wao walikuwa wa kwanza kupeleka chombo mwezini kwao waliona inatosha. Haikuwa na maana tena wao kupeleka mwanadamu
 
Kuna vitu vingi vya kisanii Marekani wanafanya mpaka leo na hawaoni haya kuvirudia rudia hata mashahidi wakikanusha.Hii inatokana na kumiliki teknolojia ya habari kwa muda mrefu.Mfano ni silaha za maangamizi za Saddam Hussein.Tulidanganywa sote mpaka balozi wetu wa UN.Mbona Iraq hakujaonekana kitu na imekuwa kimya.Hivyo hayo mawe kama yapo makumbusho yetu yachunguzwe upya.
Nikionacho sasa ni juhudi mpya za kutaka kwenda mwezini na kila mmoja kati ya miamba ya dunia ya sasa anataka awe wa mwanzo.Najua vyombo vya kichina na Marekani tayari vimeshatua na wanaweza wakafanikiwa kufika.Kwa miaka ile hakuna aliyeweza.Vifaa walivyotaja kuvitumia mfano camera ya aina ile ilikuwa hata haijavumbuliwa.
 
Ni kweli shida yangu ilikua kweny hlo neno atmosphere tu nilitaka uweke sawa.. kuhus mada yenu mi sijui kitu
 
Kwa mara ya pili wiki hii NASA wameshindwa kuwaha injini kupleka chombo kukagua mwezi kwa ajili ya safari inayotarajiwa mwaka 2024..Tukio la mwanzo ilikuwa ni kuvuja kwa Hydogen.Hapo jana ni kuvuja kwa Oxygen.
Kutokana na kasoro hiyo haitowezekana kufanya jaribio jengine mpaka hapo oktoba 16 litakapopatikana dirisha jengine kutokana na njia ya mwezi. Hivyo kwa sasa chombo hicho kitarudishwa bandani mpaka muda huo.
 
Ndio ile jua likizama linadidimia kwenye dimbwi la tope?!
 
Unaelewa nini wewe uko zako mbande na infinix(calculator) yako hata dunia huelewi inaendaje unamlalamikia USA
 
NASA is a HOAX!

Apollo 11 was HOAX in America history.

And this mission too( Artemis) will be a Hoax.
 
Enzi hizo sijui apolo aliendaje!, Kama kipindi hiki cha technology zaidi inashindikana
 
Enzi hizo sijui apolo aliendaje!, Kama kipindi hiki cha technology zaidi inashindikana
Njia ya muongo fupi. Tena wanajidai walikuwa wanakwenda na kurudi kama shambani kwao. Yapo majina ya watu kadhaa walioorodheshwa kwenda na hatimae wakapotea.Na kama si kupotea walikuwa wakichungwa nyenendo zao mpaka walipokufa.Sijui kama yupo aliyebaki .
 
Weka hapa hayo maelezo ya USA kwamba hakuna aliyewah kupenya kufika mwezini sabab ya van Allen belt.
 
Huyu hapa Buzz Aldrin, yeye na Armstrong ndo walikuwa wakwanza kutua mwezini. Yupo mpaka sasa aged 92, unaongea vitu kwa kubahatisha huna taarifa zozote
 
Pata mda fatilia hii documentary utaongeza kitu kwenye ufahamu wako, humo wapo watu kama wewe wenye "dhana hoji" kama wewe, yupo pia jamaa wa NASA wakitafuta na kuchunguza ukweli wa moonlanding kisayansi nk. Nasisitiza iangalie kuna maswali kama yako na yamejibiwa kisayansi kabisa ikiwemo ukanda wa Van Allen ambao wewe unadai haupitiki, ila sayansi inasema unapitika.
 
Kwa hiyo Kimondo cha Mbozi kilipitia Dirishani?
 
Kwa hiyo Kimondo cha Mbozi kilipitia Dirishani?
🤣🤣 Chief, nilichokiandika ni according na iman B inavyoeleza kuhusu dunia na ulimwengu. So, Usinione mpuuzi nikishindwa jibu swali lako..
Imani ya msalaba ndiyo ninaiamini na ndiyo ninaweza ijibia pindi nikiulizwa swali kama ulilouliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…