The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,266
Hahahah imagine tunge stak kwenye kuamini hayo madude so tungekuwa bado kwenye middle stone age?MashaAllah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah imagine tunge stak kwenye kuamini hayo madude so tungekuwa bado kwenye middle stone age?MashaAllah
Hahahah imagine tunge stak kwenye kuamini hayo madude so tungekuwa bado kwenye middle stone age?Hakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani.
So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Comrade Comrade utaua watu. Hili swali gumu sanaKwa hiyo Kimondo cha Mbozi kilipitia Dirishani?
Bill Clinton alipokuwa raisi akaulizwa kuhusu safari ya mwezini akasema hana taarifa za kutosha kujibu swali.NASA is a HOAX!
Apollo 11 was HOAX in America history.
And this mission too( Artemis) will be a Hoax.
Bahati mbaya hapa sijaona hicho ulichotakana kunifikishia.Jee una taariffa Bill Clinton alipokuwa raisi akahojiwa kuhusu safari ya mwezini alisema hana taarifa za kutosha kuhusu safari hiyo.Sasa wewe wa kwetu Ubena unatetea nini. Angalia wataalamu wengine walivyohoji kitaalamu na kutilia shaka safari hiyo. Does Bill Clinton believe that the moon landing in 1969 was a hoax? .Pata mda fatilia hii documentary utaongeza kitu kwenye ufahamu wako, humo wapo watu kama wewe wenye "dhana hoji" kama wewe, yupo pia jamaa wa NASA wakitafuta na kuchunguza ukweli wa moonlanding kisayansi nk. Nasisitiza iangalie kuna maswali kama yako na yamejibiwa kisayansi kabisa ikiwemo ukanda wa Van Allen ambao wewe unadai haupitiki, ila sayansi inasema unapitika.View attachment 2345923
Watu wa Dini bwana sijui mnatumiaga nini kifikiriHakuna aliyewai kwenda mwezini, China na marekani kwenda mwezi ni uwongo wenye dhumni fulani.
Allah katika Qur'an tukufu anasema hapo juu kabla ya Atmosphere Kaweka uzio mkubwa ambao hauruhusu kitu chochote kuingia dunia wala kutoka Duniani.
So ikiwa utaamini NASA na CHINA kwenda mwezini basi utakuwa unamaanisha kuwa Allah na Qur'an ni uwongo.
Hao wanasayansi wanatunga uwongo uwongo ili kuwa poteza waja wa Allah.
Cc:&zurri
Unaamini moonlanding ni story tu na kwamba ilitengenezwa studio tu?Bill Clinton alipokuwa raisi akaulizwa kuhusu safari ya mwezini akasema hana taarifa za kutosha kujibu swali.
Bahati mbaya hapa sijaona hicho ulichotakana kunifikishia.Jee una taariffa Bill Clinton alipokuwa raisi akahojiwa kuhusu safari ya mwezini alisema hana taarifa za kutosha kuhusu safari hiyo.Sasa wewe wa kwetu Ubena unatetea nini. Angalia wataalamu wengine walivyohoji kitaalamu na kutilia shaka safari hiyo. Does Bill Clinton believe that the moon landing in 1969 was a hoax? .
Kwa ufupi wanasema hakukuwa na utaalamu wa kupata picha kutoka mwezini kwani ulihitaji uwe na mikanda ya video za kizamani jumla 5 ndipo uweze kurekodi vile Arrmstrrong alivyokuwa akidunda dunda.Na baade ukate kipande kile.kwa kufanya hivyo ni lazima video hiyo itakuwa ni mikwaruzo jambo ambalo halikuwepo kwenye picha ya Armstrong. Mtaalamu huyo anatilia shaka kuwe ni picha ya dakika chache halafu ikakatwa vipande vipande kutoa slow motion. Iwapo utaendelea kutetea nitakuletea mashahidi wengine na uyajibu maswali yao. Moja ya maswali hayo mwaka huo walikwenda wawili kwanini kuna mpiga picha mwengine anayewafuata fuata.
Jamaa anaitwa Chris keshanisaidia kukujibuWhy should we trust you?
Una ujinga mwingi sana.Hiyo siyo Sayansi, kama unaijua Sayansi huwezi kuandika haya. Huo ni uhalisia na ndiyo ukweli.
Ndiyo maana mpaka muda huu wanashindwa kuigiza tena tukio lile la mtu kwenda mwezini. Kingine imeonekana watu hawa kumbukumbu hawana, mzozo ni mkubwa sana juu ya tukio hili, baina wanao sadiki na tunao pinga, lakini sisi tunao pinga tuna hoja za kiakili, kimazingira na ufunuo, bali na hoja za kisayansi zinazo onyesha kutokuwezekekana kwa jambo hilo.
Tukirudi katika aya ya 86 katika sura 18, jambo liko wazi, aya inaelezea alichokiona Dhul-Karnain, na hichi ukienda katika sehemu za pwani karibu na fukwe ya bahari watu huwa wanaona jua linapozama upande wa Magharibi kama linazama baharini na ukweli si hivyo. Kwahiyo aya imeongelea kile alichokiona mja huyu mwema. Kwa maana nyingine upende huo ndiko jua lilikuwa linazama.
Sasa kama jambo hili rahisi linakushina hayo ya Wanasayansi utayaweza vipi wakati wao wenyewe washajua mnapenda maigizo.
Kauli yako ya mwisho huwezi kuithibitisha kama ni kweli mpaka unakufa, hasa kama ukiijumuisha katika kauli yako dini ya Kiislamu.
Vijana kwanini mnakuwa wajinga kiasi hiki ? Amkeni aisee mnaikosea sana akili mliyo pewa bure.
Na umepata likes za kutosha! Wazee wa conspiracy theory.Trust me,
Ile ya mwaka 72 ya yule jamaa wa kwenye kikopo Cha Coca-Cola na bendera ya USA ilikua Ni chai ya mchana kweupe
Usalama unaozungumziwa hapo ni usalama wa chombo na si usalama wa kule mwezini. Sababu kubwa ya Artemis 1 mission ni "This mission is an uncrewed test of the Space Launch System, NASA's most powerful rocket ever, and its Orion spacecraft to make sure both vehicles are safe for astronauts" Haijatokea hata mara moja popote pale kupeleka crew angani bila ya kufanya test ya chombo hicho kama chaweza kwenda na kurudi salama, especially ikiwa ni chombo kipya kama hiki.Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini.
Yaani walikuwa na uthubutu wa kutake immeasurable amount of risk mwaka 1969 lakini wanaogopa kufanya walichofanya enzi hizo mwaka 2022 tena kwenye gap la miaka 53?
Bila shaka 1969 lunar landing ilikuwa geresha ya cold war, I stand to be corrected.
Yote kwa yote I respect their tremendous efforts juu ya science developments na space exploration.
GJamaa anaitwa Chris keshanisaidia kukujibu
"Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini.
Yaani walikuwa na uthubutu wa kutake immeasurable amount of risk mwaka 1969 lakini wanaogopa kufanya walichofanya enzi hizo mwaka 2022 tena kwenye gap la miaka 53? "
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kama gharama za kufeki zingekuwa kubwa sana mzee, gharama kubwa sana ungetumika ili kuweza kuificha hiyo siri kwa miaka yote hiiJamaa anaitwa Chris keshanisaidia kukujibu
"Kitendo cha wao kusema wanaenda kuangalia kama kuna usalama wa kupeleka tena binadamu siku zijazo ni kauli tosha kusema hawajawahi kupeleka binadamu mwezini.
Yaani walikuwa na uthubutu wa kutake immeasurable amount of risk mwaka 1969 lakini wanaogopa kufanya walichofanya enzi hizo mwaka 2022 tena kwenye gap la miaka 53? "
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia mwezini ni karibu na juaHivi unavyolikaribia jua joto linazidi au linapungua? Huko mwezini si ndio uko karibu na jua? Hizi safari sio fix kweli? Inabidi nihoji kwani siamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika nini sasa hapa[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi unavyolikaribia jua joto linazidi au linapungua? Huko mwezini si ndio uko karibu na jua? Hizi safari sio fix kweli? Inabidi nihoji kwani siamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unawezaje kuidanganya dunia nzima!? Unawezaje kufanya siri japo lililohusisha maelfu kama sio malaki ya watu wote walioshiriki kufake ile event na kuweza kuwanyamazisha wote wasiongee. Hebu mtu anifafanulie how is this possible.Msikilize Buzz Aldrin akiongopa hapa.Maneno hayakai sawa na uso umemsawijika.Anasema walipotua alikuwa anamuangalia Neil Armstrong akishuka kutoka kwenye dirisha lake.Hakusema alikuwa akimchukua video Armstrong lakini hiyo picha yenyewe inaonekana kutoka hapo dirishani na wala sio chini . Wadadisi walipohoji kuhusua picha hizo walisema walikuwa wameweka kamera mlangoni ili Neil Armstrong akishuka tu zimchukue.Hiyo kamera kabla ya watu kuulizwa haikuwa imetajwa katika muundo wa Apollo.Na kikubwa wataalamu wa Physics na wapiga picha wanathibitisha ukiondoa kodak mwaka huo hakukuwa na uwezekano wa kuchukua video kama ile kutoka mwezini kulikojaa mionzi ya jua na ikaweza kurudi duniani salama.
In June 1972, five men were arrested attempting to break in to the Watergate Hotel. By August 1974, the resulting scandal had resulted in the resignation of the President of the USA. Something as simple as an attempted break in and telephone line bugging was soon exposed to be part of a larger conspiracy, that led to the downfall of the President, little more than 2 years later.Msikilize Buzz Aldrin akiongopa hapa.Maneno hayakai sawa na uso umemsawijika.Anasema walipotua alikuwa anamuangalia Neil Armstrong akishuka kutoka kwenye dirisha lake.Hakusema alikuwa akimchukua video Armstrong lakini hiyo picha yenyewe inaonekana kutoka hapo dirishani na wala sio chini . Wadadisi walipohoji kuhusua picha hizo walisema walikuwa wameweka kamera mlangoni ili Neil Armstrong akishuka tu zimchukue.Hiyo kamera kabla ya watu kuulizwa haikuwa imetajwa katika muundo wa Apollo.Na kikubwa wataalamu wa Physics na wapiga picha wanathibitisha ukiondoa kodak mwaka huo hakukuwa na uwezekano wa kuchukua video kama ile kutoka mwezini kulikojaa mionzi ya jua na ikaweza kurudi duniani salama.
Doesn't make any sense sababu hata apollo kilikuwa chombo kipya at the time lakini kwanini hawakufanya test ya kwenda mwezin na kurudi remotely ili kuhakiki usalama wa chombo?Usalama unaozungumziwa hapo ni usalama wa chombo na si usalama wa kule mwezini. Sababu kubwa ya Artemis 1 mission ni "This mission is an uncrewed test of the Space Launch System, NASA's most powerful rocket ever, and its Orion spacecraft to make sure both vehicles are safe for astronauts" Haijatokea hata mara moja popote pale kupeleka crew angani bila ya kufanya test ya chombo hicho kama chaweza kwenda na kurudi salama, especially ikiwa ni chombo kipya kama hiki.
Apollo mission ilitumia Saturn V rockets ambazo zilishaanza kutumika tangu 1967 hivyo zilishafanyiwa tests.Doesn't make any sense sababu hata apollo kilikuwa chombo kipya at the time lakini kwanini hawakufanya test ya kwenda mwezin na kurudi remotely ili kuhakiki usalama wa chombo?
Sijui kwa nini unaona ni shida kuwadanganya mamilioni ya watu.Ukiwa muongo sana na wanaokusikiliza ni wajinga sana katika fani unayowaongopea mafanikio ni makubwa sana. Umetaja Urusi na China kama ingekuwa ni hoax wasingenyamaza..Labda unaona wao wameendelea sana kielimu kuliko watu wengine tuliodanganywa.Ukweli ni kuwa warusi hasa wazee walioshuhudia igizo hilo walipofanyiwa sensa idadi kubwa walisema hakuna kilichotokea mwaka huo 1969 kuhusu kutua mwezini.Kama ingekuwa ni rahisi kupeleka mtu mwezini mwaka huo basi wangefanikiwa warusi kumpeleka Yuri Gargarin kwani warusi walikuwa wameendelea sana katika teknolojia za anga kuliko Marekani kwa miaka mingi na walishindwa kumpeleka Yuri walipodhamiria hasa kuwa wa mwanzo kufanya hivyo.Na sijui unajua kuwa hivi sasa Urusi iko mbali sana kwa teknolojia za anga za mbali kuliko .Ushahidi wa hilo ni kuwa kituo cha ISS kinamilikiwa na Urusi kwa miaka yote hiyo na wanaanga wa Marekani wakitaka kwenda huko wamekuwa wakipewa lift mpaka mwaka jana ndio wameweza kutumia chombo chao na hawatui mpaka waunganishwe na mrusi.Karibuni palipotokea majibizano kati yao kuhusiana na Ukraine ,Urusi ilitishia kuwatimua wamarekani kutoka kituo hicho. Afadhali China imeshaanza kujenga kituo chake mfano wa ISS wakati Marekani hawana kitu kama hicho..In June 1972, five men were arrested attempting to break in to the Watergate Hotel. By August 1974, the resulting scandal had resulted in the resignation of the President of the USA. Something as simple as an attempted break in and telephone line bugging was soon exposed to be part of a larger conspiracy, that led to the downfall of the President, little more than 2 years later.
How does this relate to the moon landing? That same President who resigned in 1974, one Richard Nixon, was the same President who presided over the moon landings from 1969–1972. He was the same President whose phone was patched into NASA’s comms so that he could talk with the brave astronauts more than 200,000 miles from home.
So ponder for a moment. If that President couldn’t maintain secrecy over a simple break and enter, do you think his administration would be able to maintain the secret that they faked not just 1, but 6 moon landings, and 3 more lunar orbits? The lunar excursions were broadcast right across the world, and watched almost live (almost, because there was a few seconds delay due to transmission technologies) by millions of people across the world.
If they were faked, the Nixon administration would have to maintain a lie that involved literally thousands of NASA staff. Not only that, but staff of Australian communication bases would also be aware of the lie. If 5 people couldn’t maintain secrecy over a break and enter, do you really think thousands of people, across multiple nations, would be able to maintain secrecy over what was unarguably mankind’s greatest achievement up until that time (and probably still is)?
That alone should be enough to say that the hoax theories are nonsense.
But there are many more proofs if you are prepared to look. Radio operators in multiple countries were able to listen in on the communications with directional antennae aimed at the moon. Astronomers recorded the lunar orbiter. There are many more third party observations that attest to the fact that the lunar expeditions were real.
The other big failure in the hoax claims is simply that in 1969, we didn’t have the video editing skills to pull off a fake. Given the video recording and editing techniques available at the time, a fake would be so obvious it would be laughable. Even today, it is hard for Hollywood to pull off convincing space footage.
Without doubt the lunar landings happened. Claims of it being a hoax are all nonsensical. While some of the theories may sound plausible, a little investigation soon thoroughly debunks them. Most of the claims made by hoaxers, such as the flag waving, lack of stars, etc, merely come from a lack of understanding of the physics that govern the situation.
This Wikipedia list is by no means exhaustive, but contains a good list of third party observations that verify the lunar expeditions. Third-party evidence for Apollo Moon landings - Wikipedia
226 views
View 5 upvotes
5
[https://qph]
Corey S. Powell
·
Follow
Book author, former editor of Discover & American Scientist.3y
Related
Is a moon landing hoax even possible?
It’s fun (for me, at least) to think of all the things necessary to pull of a Moon-landing hoax.
You have to fake all the precursor missions, going back to 1960. Did the Mercury and Gemini programs happen? If so, at what point did it switch to a hoax? The conspiracy theorists have no good answers.
You have to fake all the hardware: Saturn V rocket, Apollo capsule, flight computers, rocket engines, etc. Remember that literally tens of thousands of people, both at NASA and at contractors, worked on this.
You have to fake all the software. Same deal. Oh yeah, and fake all the flight plans. Do all the people at all levels know this is fake? If so, you have to keep tens of thousands of people perfectly silent. If not, you have to be really good at fooling some of the smartest people in the world.
You have to fake a series of test launches, and then the actual Apollo launches. Millions of people watched the rockets go up. What were they seeing?
You have to fake all the telemetry that the professionals and amateurs around the world were monitoring. In short, you have to build a huge Saturn V rocket and you really need to send it to the Moon!
You have to sneak the crew onto and off of the rocket, then sneak them to the landing site without anyone noticing. It’s harder than it sounds.
You have to fake all the imagery. ALL of the imagery. Lunar landscape, shots at all kinds of different angles, the hammer & feather experiment, falling down in low-gravity, views of Earth from the Moon, all of it. As many people have pointed out, this job alone would have been far beyond the imaging technology of the 1960s.
You have to leave equipment on the Moon, like the retroreflectors that are still there. OK, so maybe NASA really did launch a Saturn V rocket and really did land on the Moon and really did leave equipment there, but just didn’t bring the astronauts. Sure. But now you need some kind of rover to deploy the hardware on the Moon…which means you need a whole other secret program to carry out the real, robotic Moon landing. Where did that happen? Who worked on it? How did the other stuff get on the rocket?
You have to fake the Moon rocks and other scientific readings from the lunar surface, like the ultraviolet galaxy images taken by Apollo 16. The Moon rocks don’t match any rocks on Earth, so that is going to be one hell of a tricky fabrication job. Send a robot to bring back real Moon samples? Maybe, but you need a giant robot to do the job. Oops, another secret program that nobody has ever seen or heard about.
You have to fake the Apollo 13 near-disaster. Why would you do such a thing?
You have to make sure that China, the USSR, and all of the other world’s countries keep the secret. Why would they do that, exactly?
You have to make sure that no hostile foreign intelligence agency is able to find out anything about the hoax in the subsequent 50 years.
You have to make the Apollo-Soyuz and Skylab missions exactly match up with the fake hardware used for the Apollo landings. Or are those missions fake too? No good answers from the hoaxers.
You have to fake the subsequent Soviet and Chinese robotic missions to the Moon to make sure that all of their images and samples match the fakes that NASA created. (Good luck with that one.)
You have to fake all the images from the Lunar Reconnaissance Orbiter so that they exactly match the Apollo landings. In other words, you now need to keep the entire space science community in on the hoax—with no leaks, ever!—for a half century and going.
Ami naomba pitia hapa halafu tuendelee