GE2025 Nasaha kwa vijana kuelekea Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unajidanganya tuu we utakuepo kuperuzi tuu humu
 
Vijana wakiamua kweli kukaza hiyo tarehe 29, kuna watu watakimbia nchi nawaambia.
 
Hakuna mwenye uwezo huo mbwembwe tu za keyboard 😁
Sijafurahia kufanya editing kwenye maelezo yangu. Mimi nimeandika kukaza, wewe unaandika kukazwa! This is not fair at all. Wewe ni mkongwe humu. Zingatia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…