Nasaka mume

Nadhani ndo mda halisi nikuoe,kuna jumba moja matata pale town sitaki ukia nyumba za kupangisha kwa wakati huu wa mahusiano yetu
Njoo na I'd yako ya zamani ndo nitakukubali
 
raha ya kuwa mwanamke kupiga mizinga bwana.saluni ,pamba ,window shoping kawaida mbona acha ubahili wewe . Wewe si nitakupa mapenzi ya kweli,heshima ,full matunzo yaani hata iyo mizinga utaona si kitu
UNAMPA AU MNAPEANA MBONA MNAKUAGA WABINAFSI???
 
Aisee Madam B baada ya Kujiunga JF ukaanza kusaka na Mume!
 
Njoo inbox sifa zote ninazo, kupima tunapima miezi 3,na miezi 6.na tutapima na Hepatitis B.namaanisha kweli njoo nakusubiri.
 
Sifa yangu nyingine napenda shoo ya kihuni kwa hiyo jiandae kwa hilo.sifa zote ninazo
 
Kama wataka mashine kubwa wapo wamasai Fanya kuni pm nikuunganishe nao,mashine zao zimesimama haswaaa.
 
Hahahaha me nasubiria mrejesho na mm niweke tangazo
 
Ulishapata au bado ubatafuta tuje wenye vigezo vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…