Dabby Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 324
- 260
Nitakuwa wa nwisho mmTuliojipihia kwa kumdanyanga madam b kuwa tutamuoa wanyooshe mikono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuwa wa nwisho mmTuliojipihia kwa kumdanyanga madam b kuwa tutamuoa wanyooshe mikono
Haya lkn unaionea acha tu nine Madame BUsije.
Nilishapata
Madame nimekiz kigezo kimoja ambacho ndo kupaumbele chako yaani bonge la dusheeee33
Nijeeeee
Hongera kwa kumpata mume Mung ChrisUsije.
Nilishapata
[emoji7] [emoji7]Njoo na I'd yako ya zamani ndo nitakukubali
TUPOall the best...hivi hapa ndani bado kuna masingle kweli?
UNAMPA AU MNAPEANA MBONA MNAKUAGA WABINAFSI???raha ya kuwa mwanamke kupiga mizinga bwana.saluni ,pamba ,window shoping kawaida mbona acha ubahili wewe . Wewe si nitakupa mapenzi ya kweli,heshima ,full matunzo yaani hata iyo mizinga utaona si kitu
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.
Sifa yangu nyingine napenda shoo ya kihuni kwa hiyo jiandae kwa hilo.sifa zote ninazoJamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.
Ulishapata au bado ubatafuta tuje wenye vigezo vyoteJamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi: