Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

Huyo dogo anadhan sar z jesh znavaliwa krahc!achukuliwe hatua coz nidhan hakuna kbsa....
 
Mkuu huyo kijana shule ni mgogoro, na sasa utoto ndo unaojionyesha waziwazi.
 
Itakuwa aliagizwa na UKAWA tu ili CCM wasishinde uchaguzi mkuu 2015 ili Lowassa alie
 
Hivi huyo Diamond zile gwanda si kanunua dukani?sasa nani aliziruhusu kupita bandarini au airport kama mzigo wa kibiashara na sio mzigo wa kijeshi.{ama jeshi kudhalilika lilisha dhalilika na kashfa kama Maremeta na nyingine so sio mara ya kwanza.
 
Ukiwa msukule ni shiiida! Sasa hapo tena polisi wamekosea nini?!
Ghosryder , na mimi nimekuwa msukule? Wapi pamesemwa polisi wamekosea?

Actually, kama kweli wamemkamata ni jambo jema. Wamfikishe mahakamani ili suala hili la mavazi ya jeshi lieleweke vizuri (kama kweli ni kosa kwa mujibu wa sheria zetu ama la?).

Nilikuwa naonesha "mashaka" tu kwamba policcm wanaweza kumshikilia "diamond" kama inavyoripotiwa. Btw, walishindwa kumkamata siku ya tukio (najua walikuwepo) kama kweli kosa ni kuvaa hizo sare tunazoambiwa ni za jeshi?
 
Last edited by a moderator:
hakuna kesi hapo na mwacheni dogo huyo ......!kweli star maana anawasumbua akili zenu sana
 
tz hakuna sheria hapo kuna maongez tu na mkwanja wako tu kwisha habar
 
tz hakuna sheria hapo kuna maongez tu na mkwanja wako tu kwisha habar
sheria ipo ila watekelezaji ni shida....lkn kwa hii sheria diaomond hata akipelekwa mahakamani anapeta bila mwanja wala maongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…