Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

the National Security Act provides that;

6.—(1) Any person who, for the purpose of gaining or assisting any other person to gain admission to a protected place or for any other purpose prejudicial to the safety or interests of the United Republic—

(a) without lawful authority uses or wears any uniform of the Defence Forces or of the Police Force or any other official uniform of the United Republic or any uniform so closely resembling the same as to be likely to deceive, or falsely represents himself to be a person who is or has been entitled to wear or use any such uniform; or

.............
......................
..............
shall be guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for a term not exceeding twenty years......

KWA SHERIA HII HAKUNA KITU HAPO....

Sheria yenyewe inaonekana iko dhaifu, ni rahisi sana kuipangua.
 
Sito kubali diamond asipofungwa period of 10 years . I remember kesi moja ilinitoa machozi. Jamaa mmoja alikuwa ametoka kazini akiwa na machungu ya kudhulumiwa mshahara. Account yake ilikuwa na fedha kidogo zisizo mudu kumuweka mjini. so sadest alipigiwa simu mama yake anaumwa mithiri kifo.
Akachukua Pesa aluzo nazo akasema hizi za matibabu. Akavaa nguo ya kijeshi ili aende pasipo kulipa nauli kwani hakuwa na fedha.
Alikamatwa na mahakama ilitoa hukumu hii ,
Kosa la kushikwa na nyara za sirikali ni kosa kama lilivyo ainishwa katika fungu la kumi na sita la sheria. Penal code, na kwamba licha ya utetezi alioutoa atakwenda jela miaka kumi ili iwe fundisho kwa wengine( kina Diamond)
Ilikuwa mwaka Jana kesi hii na ni unreported source wapo radio FM
my Take , kesi hii itadetarmine kama kuna usawa mbele ya sheria
 
Hebu pangua tuone!

Wanasheria watapangua, si mimi ila pale mwanzoni naona kabisa inaestablish msingi wa kosa. "For the purpose of..." kama wakili akiweza kuthibitishi beyond any reasonable doubt kuwa purpose haikuwa hizo zinazotajwa au haikuwa na ubaya wote, the guy walks! Mind you, I am not a supporter of civilians throwing-on military attire FOR ANY PURPOSE. Naongelea tu sheria ninavyoiona na kwa uzoefu wa jinsi serikali imekuwa ikishindwa kesi nyingi kwa kigezo cha makosa na udhaifu wa sheria husika.
 
Huyo mhanga wa kesi ya mwaka jana alitoa wapi hizo sare za jeshi katika mazingira ya haraka haraka? Kwanza zilikuwa za JWTZ au zilikuwa zinafanana na hizo? Kuna mambo mawili nayaona yanayotofautisha kesi hizi:

1. Kama jamaa 'somehow' alipata sare halisi za JWTZ na wakati huo huo kina Naseeb wakawa walivaa zinazofanana tu, inaweza kuwa loophole ya kutoa hukumu tofauti.
2. Kuna suala zito la purpose or motive behind the act. Huyo jamaa (kama ulivyosema) alivaa kwa lengo la kulaghai ili asilipe nauli (sababu za kibinadamu tukiziweka pembeni), hiyo motive inamtofautisha yeye na hao waliopanda jukwaani kufanyia show maana hawakuwa na motive ya kumlaghai yeyote. kwa maana hiyo hukumu yao itazingatia ukiukwaji wa sheria inayozuia uvaaji wa sare za jeshi au zinazofanana nazo, ila kwa motive, kesi ya muhanga wa mwaka jana imejipambanua na hii tarajiwa ya Naseeb.
 
Haka kajamaa nako kanajitafutia matatizo tu.
Pamba zote zile kalizonazo bado kanaparamia sare za wenyewe na kwenda kukatikia viuno....mambo mengine hovyo sana.

Namba wani kwa kombati za jeshi wapi na wapi jamani...dah hovyo kweli.
 
the National Security Act provides that;

6.—(1) Any person who, for the purpose of gaining or assisting any other person to gain admission to a protected place or for any other purpose prejudicial to the safety or interests of the United Republic—

(a) without lawful authority uses or wears any uniform of the Defence Forces or of the Police Force or any other official uniform of the United Republic or any uniform so closely resembling the same as to be likely to deceive, or falsely represents himself to be a person who is or has been entitled to wear or use any such uniform; or

.............
......................
..............
shall be guilty of an offence and liable on conviction to imprisonment for a term not exceeding twenty years......

KWA SHERIA HII HAKUNA KITU HAPO....

We mutu iko rongo kabisa wewe narugumenye.
 
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.

Habari zaidi zitafuata.

diamond3.jpg

Wampigishe mbizi sakafuni tu.....Wampandishe juu ya ghorofa kisha wamwambie ajitupe chini sakafuni apige mbizi.
 
acheni uongo nyie... alipewa kibali... kumchafua tuu ndo mjuavyo

alipewa kibali iweje meneja wake akalazwa lockup? hujapita hata mgambo unavaa sare za jeshi? sheria inatamka na kukataza wazi kupitia penal code cap 16 R.E 2002,tusomeni tuache kutetea vilivo kinyume na sheria
 
Huyo mhanga wa kesi ya mwaka jana alitoa wapi hizo sare za jeshi katika mazingira ya haraka haraka? Kwanza zilikuwa za JWTZ au zilikuwa zinafanana na hizo? Kuna mambo mawili nayaona yanayotofautisha kesi hizi:

1. Kama jamaa 'somehow' alipata sare halisi za JWTZ na wakati huo huo kina Naseeb wakawa walivaa zinazofanana tu, inaweza kuwa loophole ya kutoa hukumu tofauti.
2. Kuna suala zito la purpose or motive behind the act. Huyo jamaa (kama ulivyosema) alivaa kwa lengo la kulaghai ili asilipe nauli (sababu za kibinadamu tukiziweka pembeni), hiyo motive inamtofautisha yeye na hao waliopanda jukwaani kufanyia show maana hawakuwa na motive ya kumlaghai yeyote. kwa maana hiyo hukumu yao itazingatia ukiukwaji wa sheria inayozuia uvaaji wa sare za jeshi au zinazofanana nazo, ila kwa motive, kesi ya muhanga wa mwaka jana imejipambanua na hii tarajiwa ya Naseeb.

kwenye motive mkuu cort hailumuhukumu kwa motives za kilaghai. walisema hata kama alikuwa hana nia ya kutumia vibaya magwanda such as kufanya uharifu , na alitaka kuzitumia kwa wema tu lakini he shall be sentenced according. Tena cort ilitoa vizuri sababu ya hukumu kwamba si kwasababu ya yaliyopita Bali ni fundisho kwa wengine.
Hazikuwa halisi zilifanana
 
Apigishwe push up kwenye Maji machafu!!!!!!!!!!!!!!!!! Siyo wenzetu wa uswaziii tu .
 
Wanasheria watapangua, si mimi ila pale mwanzoni naona kabisa inaestablish msingi wa kosa. "For the purpose of..." kama wakili akiweza kuthibitishi beyond any reasonable doubt kuwa purpose haikuwa hizo zinazotajwa au haikuwa na ubaya wote, the guy walks! Mind you, I am not a supporter of civilians throwing-on military attire FOR ANY PURPOSE. Naongelea tu sheria ninavyoiona na kwa uzoefu wa jinsi serikali imekuwa ikishindwa kesi nyingi kwa kigezo cha makosa na udhaifu wa sheria husika.

Mkuu naamini unajua. Heko!
 
wanafanya nae maongezi tuu watamuachia muda si mrefu!
we ruta ni kambi ya dimondo nn naona kiongozi toka jana unamtetea mdau kweli...au ndo mwanasheria wakee...maana jana ulikuja na swala kwamba aliomba kibali sijui
 
Back
Top Bottom