Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi.
Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya 500. Wafundishe wanao wasiwe wasteful na chakula, maana kuna watoto wa mtaani wamekula mihogo mwezi mzima hadi matumbo yamekuwa machungu.
Sio kwamba sisi ni wapumbavu ndio maana hatujakufikia , ni basi tu opportunity imekufikia wewe.
Sio kwamba sisi ni wavuvi, ni basi tu njaa zetu zimezidi mbio fursa za chakula.
Usiwasimange wanaojazana kwa waganga, usiwacheke wanalalamika konda akisahau kuumpa 50. Hata wewe ungekuwa nafasi hio kama ukata ungekupata.